Wema sepetu inatosha !

achen kumzingua kwan pete ndo nini?au nyi hamjawah valishwa hata moja?...its her personal stuffs mwacheni na mambo yake
 
waongo hao umeona wapi pete ikivaliwa na kipima joto kwapani wanaektisha tu hapo kama sikosei
 
Ingekuwa na sisi kila mmoja wetu humu ndani anafuatiliwa kama Wema pengine wengine tumemzidi. Mwacheni na maisha yake.
 
Kwani ukiappologise kuna nini?? huwezi kututusi tukakuacha madameX

I am not and I will not, sijaona kosa langu. Thats was my point of view, you like it or not its not my problem buddy!
 
Atakuwa na pepo la kuachika huyu,haishi hata mwaka unasikia kachika na kavalishwa pete na mwingine.
 

mwanaidi wacha kutuzingua nyie ndio mnaorukia mambo bila kufuatilia hiyo iliandikwa kabisa kwamba wanatengeneza cinema sasa unatuletea ujinga gani hapa?
Utairukia mb.. Upate mimba usioitarajia
 
MWACHENI MTOTO WA WATU AFANYE MAISHA YAKE KILA CKU YA WENZENU YENU MTAYASEMA LINI?

Anza kusema yako basi !
 
mama hapa umetudhalilisha,we're dogs? Even your dady u call him a dog? Hata wewe unalalwa na mbwa'? Vp tena bint make up.

Pheeeeeeeeeeeeeew! we matusi umejifunzia wapi, khaaaa!
 
lugha za kwenye hii thread naona sizielewi, ngoja niende kwingine, mweee!
 

Issue ya wachumba hapo sawa lakini linapokuja suala la kutoka na wanaume mbalimbali hapo inawezekana mrembo wa watu kila akiwa kwenye relationship anakimbiwa, kitu kizuri kwa Wema yupo open (real) katika maisha yake kiasi kwamba akiwa na mtu mambo hadharani kiasi kwamba possibility ya kuwa na mahusiano na watu wawili kwa wakati mmoja inakuwa ngumu kama baadhi ya watu hivyo ipo siku atapata wake wa ubani kwani kama alivyochangia BADILI TABIA kwamba hata huku uraiani wengi tu wamemfunika Wema tatizo si mastaa. NI HERI MTU AMBAE YUPO OPEN KWENYE RELATIONSHIP KULIKO YULE AMBAE HAJULIKANI
 
Last edited by a moderator:
Una uhakika kuwa yuko open...unawajua wanaume wake wote? Unamjua anayemgharimia kwa sasa?

 
Do you, otherwise tunaweza kusema umempenda ila umeshindwa kumvisha pete unalalama.

Pete hata mara milioni anavishwa, si maisha yake?
 

Nia yake si kuolewa. Mwisho kwenye uchumba inatosha tu.
 
Una uhakika kuwa yuko open...unawajua wanaume wake wote? Unamjua anayemgharimia kwa sasa?

Uhakika nitaujua wapi wakati sikai nae, mie nimetoa comment based na skendo ambazo anakuwa anapewa na yeye kuzikubali live magazetini na runingani kitu ambacho kwa wengine utasikia yule ni dada yangu au kaka yangu au msanii mwenzangu mwisho wa siku inajulikana kumbe ilikuwa vile but yeye anakubali na akiwa nae anamweka hadharani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…