Kingereza bwana nachenyewe kina mambo yake na unaweza usielewe vizuri kama hujawazoea watumiaji...Kuna rafiki yangu mmoja Mwingereza juzi kati aliquote hii kwenye wall page yake FB
‎"British people may seem to apologise a lot, but it doesn't quite mean the same thing here. In the UK, "I'm sorry" actually means either a) I didn't hear you; b) I didn't understand you; or c) I both heard and understood you, and I think you're an idiot" - from Tim Dowling's guide to Olympic Etiquette
napenda sana kujifunza lugha na culture za watu hivyo mimi hii quote nimei save kwenye desktop