Wema Sepetu, Jackline Wolper, Bosi wa GSM ndani ya China kunani?

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,863
Kwenye Instagram zao mastaa hao wamepost waki safiri toka dar siku moja na wote wamepost picha wakiwa dubai same day then wote wamepost wakiwa china same place ila hawajapig picha pamoja.. Ambapo mdogo wa GSM counselor Salaah amepost akiwa Canton fair na wema na wolper wakipost wakiwa canton railway station same area ila wamekuwa makin kutopiga picha pamoja au labda hawafahamiani[emoji23]. Au labda ma baby wao idriss na harmonize ndo wamegharamia safari yao ya china.. Au labda yule MCM aliyempost kawasponsor.
 
mbona sijaona sehemu walipofanana!
 
Hakuna alieyesema kuna connection ila ni coincidence kwa watu wanojuana dar kuwepo sehemu moja bila kuonana japo hata picha na wanavyopenda kupiga picha ukizingatia wameondoka wakati moja na wote wameelekea sehem moja na china jinsi ilivyo kubwa.
Alafu tangu lini wema na wolper ni marafiki kama siyo kuna mtu ameamua kuwa chagua hao na wamejikuta wapo pamoja na hakuna namna.
 
Mkuu Bosi w GSM
ni nani tena
Mdog wa bosi huyo ndo aliyempa idriss nyumba labda hawafahamian au hawataki kuonekana pamoja huko china
Hakuna alieyesema kuna connection ila ni coincidence kwa watu wanojuana dar kuwepo sehemu moja bila kuonana japo hata picha na wanavyopenda kupiga picha ukizingatia wameondoka wakati moja na wote wameelekea sehem moja na china jinsi ilivyo kubwa.
 
Hakuna alieyesema kuna connection ila ni coincidence kwa watu wanojuana dar kuwepo sehemu moja bila kuonana japo hata picha na wanavyopenda kupiga picha ukizingatia wameondoka wakati moja na wote wameelekea sehem moja na china jinsi ilivyo kubwa.
Wale wako wawili na hawa wapo wawili pea nzurii hapo[emoji4]
 
Hakuna alieyesema kuna connection ila ni coincidence kwa watu wanojuana dar kuwepo sehemu moja bila kuonana japo hata picha na wanavyopenda kupiga picha ukizingatia wameondoka wakati moja na wote wameelekea sehem moja na china jinsi ilivyo kubwa.

How comes nitafahamu wote kwa muda huu wapo China, wameondoka pamoja, na wapo sehemu/ eneo moja?

Inawezekana unafahamu kuwa hawa watu wapo katika mazingira unayoyaelezea ila unashidwa na kuweka usionekane mmbeya
 
Hakuna alieyesema kuna connection ila ni coincidence kwa watu wanojuana dar kuwepo sehemu moja bila kuonana japo hata picha na wanavyopenda kupiga picha ukizingatia wameondoka wakati moja na wote wameelekea sehem moja na china jinsi ilivyo kubwa.
Critical and investigative thinking.
 
Hv hyu kijana wa GSM ndo aljmwagiwaga tindikali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…