Wema Sepetu, Jackline Wolper, Bosi wa GSM ndani ya China kunani?

Mbona wanafunua funua mapaja,au ndio lengo la safari!!!
 
I know the guy personaly,anavaa vitu vya bei chafu.
 
Hapo wema kampelekea mzigo diamond,wolper kampelekea harmonise
 
Usishindane na wanawake hata baba alishaniambia Makonda yuko na wolper halafu huyo GSM kumbuka aliandaa futari akawapa I Phone 6 wasanii na viongozi so Demu yoyote hawez kuchomoa kwa Salaa kabisa juz kavuta Brabus moja Matata kama ile ya Yusuph Bakhressa Money Talks
 
hivi huyo ndo yule councellor anayewakilisha Tanzania huko China???hahahahahahaha
 
Acha kutukana maindependent women wewe kuna wanawake wanajitambua atii.
Hata ukipaki bomba dia haung'oi.
 
Nitoke nje kidogo ya mada hiv hiyo GSM huwa inahusika na nini hasa,maana ni GSM kila kona siku hiz
Huyu ana kampuni za Logistics ana maduka Shopping Malls 2 msasani na Pugu ana Yard kama 3 hiv na huku Kurasin anajenga moja ana hisa Bank ya Amana almost 70% Ana Kampun ya matangazo Yale ya Barabaran zile Screen Kubwa barabarani,Anauza Spare za malori ya Kichina hizi Howo CHNT na FAW na
 
Aargh![emoji52][emoji52][emoji52][emoji52][emoji52] napata hasira tu
 
jamani mwenye connection anipe nafanana sana na huyo mwarabu salaah tena kinyama hadi huo upara.mwenye namba yake anipatie sio nakufa maskini tu naendesha bodaboda mwarabu mimi kumbe ndugu yangu anapanda ndege kwenda china kuoga tu na kurudi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Life iz nt fair [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
 
Wafukunyuku hamkosekani, sasa unataka kutuambia nni ? Unamjua uyo mtu aliyewachagua na sababu yake? Unaonaje na wewe ukasogea uchaguliwe?
 
Samahani mkuu mtoa mada! Kazi Kama hii unayofanya ya kuzunguka huko sijui Insta' huwa unalipwa? Au Ni Upendo Tu ulionao kwa Wambeya wenzako unaowaletea Umbeya hapa!??
Shilawadu ........ Wanajiita hawashindwiii.......
 
Asante mkuu maana nilikuwa najiuliza huyu jamaa ana inshu gani hasahasa maana sasa jina lake huwez likosa kila leo
 

Hahahaa jamaa anataka nguo za kung'aa kama waimba kwaya wa kisukuma. Vitu classic havinaga mbwembwe eti.
 
Hahahaa jamaa anataka nguo za kung'aa kama waimba kwaya wa kisukuma. Vitu classic havinaga mbwembwe eti.
Vitu vya kun'gaan'gaa wanavaa makolo,watu hawataki mbwembwe,authentic shit,juu fom siksi ya armani exchange,kati khaki pant ya lauren hillfiger,chini umegonga moka za tods,unatoka ki afsa kabisa ,sio minguo kinondoni studio midosho ya guangzhou.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…