wema sepetu kalazwa

wema sepetu kalazwa

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Kuna tetesi kitaani kwamba wema sepetu kalazwa hospital.
Ikumbukwe kwamba mpenzi wake wa zamani naye anaumwa vilevile.
Kitu ambacho sijaweza amini ni kama walipotoka kigoma walienda kucheck afya au la. saa nyingine hivi vipimo vyaweza kukupa presha.
Namtakia apone haraka na arudi kitaa kuendelea na ujenzi wa taifa kama kawa. Hakika Mungu atamsaidia. Mia
 
Mmmh yawezekana wamepata food poison.....
 
Kuna tetesi kitaani kwamba wema sepetu kalazwa hospital.
Ikumbukwe kwamba mpenzi wake wa zamani naye anaumwa vilevile.
Kitu ambacho sijaweza amini ni kama walipotoka kigoma walienda kucheck afya au la. saa nyingine hivi vipimo vyaweza kukupa presha.
Namtakia apone haraka na arudi kitaa kuendelea na ujenzi wa taifa kama kawa. Hakika Mungu atamsaidia. Mia

Hueleweki kabisa mara mpenzi wake wa zamani anaumwa, mara walipotoka KG hawakupima. Sasa tujuze yupi anayeumwa? Jumbe, Charlz baba, TID, Mr. Blue, Diamond au Ney wa mitego?
 
kaaaah...
 
zito
kabwe
 
muuza Sura habari yako mkuu?
Haya mi nimepita kuwasalimia tu, nawahi Miraa naambiwa ishaingia...
 
Back
Top Bottom