figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Kuna tetesi kitaani kwamba wema sepetu kalazwa hospital.
Ikumbukwe kwamba mpenzi wake wa zamani naye anaumwa vilevile.
Kitu ambacho sijaweza amini ni kama walipotoka kigoma walienda kucheck afya au la. saa nyingine hivi vipimo vyaweza kukupa presha.
Namtakia apone haraka na arudi kitaa kuendelea na ujenzi wa taifa kama kawa. Hakika Mungu atamsaidia. Mia
Hueleweki kabisa mara mpenzi wake wa zamani anaumwa, mara walipotoka KG hawakupima. Sasa tujuze yupi anayeumwa? Jumbe, Charlz baba, TID, Mr. Blue, Diamond au Ney wa mitego?

Hadi ney wa mitego tena??