Wema Sepetu kufungua duka la kuuza chupi baada ya kuzizindua

Simplicity.

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
2,636
Reaction score
1,662
Akiongea na mimi wakati alipokuwa ziarani nchini China hivi karibuni, mwanadada huyu machachari na maarufu nchini, amesema atafungua duka la chupi zenye label ya maneno "Endless Fame" kwa upande wa mbele (on top of k) au nyuma (juu ya chura).

Amedai kwamba, pamoja na kuwa atakuwa kibiashara, lakini chupi hizo zitawaongezea wadada watakaomudu kuzinunua umaarufu na kujipa thamani zaidi kutokana na kujisitiri kwa chupi maridadi, maarufu na zenye gharama. "Unajua simplicity., chupi kama hii yangu mwanamke akivaa, hawezi kukubali ivuliwe na wanaume ovyoovyo. Wanaume wenyewe ndio hawa wa kuhonga sh kumi, hela ambayo haitatosha hata kununulia sabuni ya kuifulia, lazima ujipe thamani my dear".

Ameenda mbali zaidi, kwa kusema, atakuwa anazizindua hizo chupi ili kuzipa kismart na mvuto wa aina yake, jambo ambalo litafanya wanawake watakazozivaa kupendwa na kupata mapenzi motomoto toka kwa mabwana zao.

NB: Sina comment
 
Ilitakiwa azindue kipindi kile yupo na R.I.P KANU.
Hakika asingevuliwa ovyo ovyo na ......fulani kapita .... zamu yanani leo?
Na Domo kapita .
Angepataga hayo mapenzi motomoto kutoka kwa michepuko yake.
Sio mbaya sana
Tuleteage na sidiria kabisa ili hiyo "simplicity " ijuuuuuuuuuteeeeeeee kumfahamu.
 
Yaan anazindua kwa kuzivaa kwanza au anazindua moja tu.
 
Akiongea na mimi wakati alipokuwa ziarani nchini China hivi karibuni, mwanadada huyu machachari na maarufu nchini, amesema atafungua duka la chupi zenye label ya maneno "Endless Fame" kwa upande wa mbele (on top of k) au nyuma (juu ya chura).

Amedai kwamba, pamoja na kuwa atakuwa kibiashara, lakini chupi hizo zitawaongezea wadada watakaomudu kuzinunua umaarufu na kujipa thamani zaidi kutokana na kujisitiri kwa chupi maridadi, maarufu na zenye gharama. "Unajua simplicity., chupi kama hii yangu mwanamke akivaa, hawezi kukubali ivuliwe na wanaume ovyoovyo. Wanaume wenyewe ndio hawa wa kuhonga sh kumi, hela ambayo haitatosha hata kununulia sabuni ya kuifulia, lazima ujipe thamani my dear".

Ameenda mbali zaidi, kwa kusema, atakuwa anazizindua hizo chupi ili kuzipa kismart na mvuto wa aina yake, jambo ambalo litafanya wanawake watakazozivaa kupendwa na kupata mapenzi motomoto toka kwa mabwana zao.

NB: Sina comment
......huyu bado yupo kwenye foolish age..........mh makubwaaaaaaaa
 
Tena inabidi afanye advertisement huyo huyo wema kwa kutuonyesha jinsi kyupi kilovyomfit
 
Huyu dada ana mashabiki wengi wanaopenda kuiona sura yake tu na sio mafanikio yake, kuna kipindi kwenye show Fulani alikuja na lundo la sendo zake za kuvaa miguuni walionunua hata kumi hawakufika..zile lipstick zake hadi saizi chaka.....kampuni yake ya kutengeneza filam endless fame chakaaa...kugombea ubunge singida chakaaaa.....sasa kaamua kuuza chupi ama kweli hii Tanzania mashabiki usiwategemee sana
 
Akifikia ile ya kuuza papu**c**h, niiteni[emoji2] [emoji2]
 
Chupi za kiume au za kike ???!! .. zisije kuwa kama zile chupi za " vipi" ...
 
Back
Top Bottom