Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,662
Akiongea na mimi wakati alipokuwa ziarani nchini China hivi karibuni, mwanadada huyu machachari na maarufu nchini, amesema atafungua duka la chupi zenye label ya maneno "Endless Fame" kwa upande wa mbele (on top of k) au nyuma (juu ya chura).
Amedai kwamba, pamoja na kuwa atakuwa kibiashara, lakini chupi hizo zitawaongezea wadada watakaomudu kuzinunua umaarufu na kujipa thamani zaidi kutokana na kujisitiri kwa chupi maridadi, maarufu na zenye gharama. "Unajua simplicity., chupi kama hii yangu mwanamke akivaa, hawezi kukubali ivuliwe na wanaume ovyoovyo. Wanaume wenyewe ndio hawa wa kuhonga sh kumi, hela ambayo haitatosha hata kununulia sabuni ya kuifulia, lazima ujipe thamani my dear".
Ameenda mbali zaidi, kwa kusema, atakuwa anazizindua hizo chupi ili kuzipa kismart na mvuto wa aina yake, jambo ambalo litafanya wanawake watakazozivaa kupendwa na kupata mapenzi motomoto toka kwa mabwana zao.
NB: Sina comment