Wema Sepetu kugombea Ubunge viti maalum Singida

Wema Sepetu kugombea Ubunge viti maalum Singida

mzurimie

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2011
Posts
6,143
Reaction score
3,625
Muigizaji marufu na x-girlfriend wa Diamond platnumz, Wema Sepetu amechukua fomu ya kugombea ubunge wa viti maalum kupitia CCM.

Akiongea na host wa kipindi cha ala za roho cha clouds fm kilichorushwa hewani tarehe 16 juni 2015 mmiliki huyo wa lebo ya Endless Fame amethibitisha hilo kwa njia ya simu alipohojiwa.

Je, Utitiri huu wa vijana ndani ya ulingo wa siasa utaleta mabadiliko chanya kwa taifa mbeleni au ndio wengi wao wanafuata ulaji kwanza?

Shukran.

1435128643112.jpg

Kupitia instagram page ya Petit Man
wema1.PNG
wema2.PNG

=====

AUDIO: WEMA SEPETU 'AKITANGAZA NIA' YA KUGOMBEA UBUNGE WA SINGIDA

View attachment Wema Sepetu - Kuwania ubunge Viti Maalum.mp3
 
Haya yamepostiwa na petitman ambae ni afisa Wa endless fame. Kila la heri wema. Mungu akutangulie ushinde.
 
Teh teh wewe si ndie uliyekuwa unapomba Diamond na CCM yake?? Wewe si ndie ulikuwa unaponda Diamond kuimba kubwagizo cha katiba ya CCM?? Kunani tena best??
 
Kila la heri sweetheart...hater wachukue tu wine wanywe wasife kwa kihoro manake bidada anaingia bungeni kama utani vile....hutaki sikulazimishi
 
Sasa hivi siasa imekuwa rahisi sana...
Kila mtu anaweza kutunga na kusimamia sera za kuliongoza taifa hili...
Yani zile sheria zilizomshinda mwanasheria mkuu hadi akasaidiwa na Tundu Lissu ndo akazitunge Wema?....
Tusidhalilishe bunge....
 
Nadhani wanachukuuaga form then wanapigiwa kura za ndani ya chama kuna mdada mwingine naye anagombea viti maalumu.Ingawa sijui ni vigezo gani hupitia.

Owky kumbe" sasa ubunge atauweza huyu na kisauti chake haha
 
Back
Top Bottom