Wema Sepetu kugombea Ubunge viti maalum Singida

LIKE MOTHER LIKE DAUGHTER

SUGAMAMI WA 70's NI SAWA SAWA NA SUGAMAMI WA 90's
 
Duh mbunge mtarajiwa
 

Attachments

  • 1435128643112.jpg
    30.2 KB · Views: 118
Wema anatangaza nia ya kugombea ubunge mkoa wa Singida kupitia kapu la viti maalum. Anasema yeye ni miongoni mwa wasanii wengi watakaojitosa ulingoni mwaka huu wengine ni Kingwendu, King Majuto, Steve Nyerere, Kulwa Dude, Prof Jay na Muhogo mchungu! Atagombea kupitia CCM.
 
Duh Siasa imevamiwa! Hawa ndiyo waende wakatunge sheria mjengoni au wana kwenda kuanzisha kampuni ya usanii?
 
yupo clouds tv huyu mtia nia wa ubunge wa viti maalum mkoa wa singida teh teh na leo sijui atasema katoa mimba
 
Udhaifu wa CCM umefanya kila mtu aone uongozi si kazi.......................
 
ndugu mkapa alisema sekta na umma imepalaganyika kwamba kila mtu anaweza kuwa yeyote na haya ndio tunayoyaona leo hii
 
leo hii hakuna mtu anayeogopa madaraka yeyote yale.....vijana wanamaliza tu vyuo wanatangaza nia hata hawajui chochote kisa uongozi umekuwa hata ufanye kosa huulizwi wala hubebwi.......ufike mda tutoe adhabu kali kwa viongozi wazembe uone kama kuna mtu atakimbilia uongozi. mfano nchi kama Misri nani atakimbilia uongozi au nenda Israel leo. miiko ya uongozi imepotea kila mtu anaamini anaweza kuwa muwakilishi wa wenzake hata kama hawezi kisa......kuchumia tumbo hakuna anayewaza kuendeleza nchi hii kila mtu anajifikiria yeye mwenyewe na maslai yake. leo kila mtu anaweza kugombea nafasi yoyote hile hata kama hana sifa hii ni aibu..............hii ni nchi ya mfalme JUHA
 
Akipigwa chini utasikia wema akutana na Salim Mwalimu kwa ajili ya kujiunga na cdm..u knw ili magazeti fulani yauze
 
cha ajabu wanaopinga wote ni mashabiki wa diamond
 
huyu dada bint sepetua... Nae anataka ubunge kweli....? Na picha zote za utupu zilizoko google.. Kchukuliana mabwana, uadui na kajal na chuki za wazi wazi kwa wenzie. Hizi timu zisizo na makocha wanazileta kwenye siasa.. Anayo maadili gani ya uongozi na ataleta mabadiliko gani yule? Kweli nimeamini Tza ni kichwa cha mwenda wazimu.... yuleeeeeeeeeeee kwel???i si bora kusiwe na viongozi tuwe state of nature.. everyone is leader of his own.. We live by nature... chama cha kijanii kweli mmeamua kuishia hivooo with no dignity... Kiongoz gani yulee..? atafanyanini? anayo maadili gan? kweli? viti maalumu? Umaarufu kunukaa kajaza picha za uchi google leo ni kiongoziii kwa lipiiii yuleeee? duuuuuuuuuuuuuuuuh....
 

  • huyu dada bint sepetua... Nae anataka ubunge kweli....? Na picha zote za utupu zilizoko google.. Kchukuliana mabwana, uadui na kajal na chuki za wazi wazi kwa wenzie. Hizi timu zisizo na makocha wanazileta kwenye siasa.. Anayo maadili gani ya uongozi na ataleta mabadiliko gani yule? Kweli nimeamini Tza ni kichwa cha mwenda wazimu.... yuleeeeeeeeeeee kwel???i si bora kusiwe na viongozi tuwe state of nature.. everyone is leader of his own.. We live by nature... chama cha kijanii kweli mmeamua kuishia hivooo with no dignity... Kiongoz gani yulee..? atafanyanini? anayo maadili gan? kweli? viti maalumu? Umaarufu kunukaa kajaza picha za uchi google leo ni kiongoziii kwa lipiiii yuleeee? duuuuuuuuuuuuuuuuh....​



 
Waache na chama chao wafanye yao maana kuna wengine wana ubaya zaidi ya huyo binti matatizo.
 
Huyu binti nimeona leo akijielezea kuhusu ubunge viti maalum na vienglish kibao
Kweli mkwere amefanya uongozi uchukuliwe poa sana
Hata mwendawazimu anaweza kuwa mbunge
 
kwani ameishakuea mbunge?... mda bado.. na hata hivyo kuna wabunge wengi tu wenye historia mbaya na sasa ni viongozi na wengine ndio wanatangaza nia saizi..sio wema peke yake.. hata hivyo historia si hoja cha muhimu ni uwezo na akili ya kuongoza watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…