Wema Sepetu kugombea Ubunge viti maalum Singida

Sina uhakika saaana kama 'mzee wa takwimu' atakubali kuwapa lifti watu wa dizaini ya huyu dada!!,.
Nadhani angefaa katika round hii inayoisha.. Ila kwa hii ijayo amekosea sana!
 
Vitu vingine hata sjui vina maana gani so what akigombea ...unafikiri ana uchungu sana na hii nchi au anataka kujineemesha tu..mfyuuz ...ushuzi kabisa ..
 
Mwenzie anakula vinono mbele ya Pugu. Akili ni nywele
 
Mwenzie anakula vinono mbele ya Pugu. Akili ni nywele
Wema alifanyakazi kubwa kwenye kampeni ila kukosa uvumilivu kumemkosesha ulaji nadhan mafuta mafuta yaliyopo kwenye makalio yake yanachangia kupunguza maarifa kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…