Ha ha ha ha all the best Mheshimiwa wema sepetu, ila angewahi kipindi cha baba nanii angepewa tu make jamaa ana kauli mbiu nzuri " waacheni wanawake wazuri waje kwangu maana u-DC ni wao"
Na mimi nimesoma nikataka kuuliza, huyo ni meneja wake sijui mfanyakazi wake anatangaza naona hata hawajui wote wanataka nini bali ubunge tu.
Hivi ubunge viti maalumu unagombaniwa au unateuliwa?
Ha ha ha anachukua jambo la Mwigulu au dewji?Mwenzangu, muheshimiwa wema isaac sepetu khaa, kwa CCM hakuna kinachoshindikana
Kila la heri sweetheart...hater wachukue tu wine wanywe wasife kwa kihoro manake bidada anaingia bungeni kama utani vile....hutaki sikulazimishi
Owky kumbe" sasa ubunge atauweza huyu na kisauti chake haha
ha ha ha itabidi tu kura apigiwe nkurunzinza make hakuna namnaLabda ndio ombi anajua kushindana kazi kwa hiyo Raisi mpya amchague, anaomba michango mapema.
Ila si yeye ameshawishi wafuasi na wengine wasimpigie kura Ex wa Diamond kushinda MTV awards eti wawa votie wa Nigeria halafu anategemea watu watampa raha katika kampeni duh anakazi
Haya tunasubiri CV
Mwenzangu, muheshimiwa wema isaac sepetu khaa, kwa CCM hakuna kinachoshindikana
Owky kumbe" sasa ubunge atauweza huyu na kisauti chake haha
Teh teh wewe si unamchukia ndomo kwasababu aliimba kibwagizo cha katiba ya CCM?? Sasa kwanini umsupport Wema kwa kugombea kupitia huko huko CCM??
hicho kisauti ndio chenyewe , akikohoa tu waziri anajenga barabara
Haha sema itakua chakla ya wabunge hii
kama Amina aliweza,vicky nae kaweza basi si ajabu na yeye kuingia mjengoni.
Mwenzangu, muheshimiwa wema isaac sepetu khaa, kwa CCM hakuna kinachoshindikana