Tetesi: Wema Sepetu kurithi nafasi ya Jokate UVCCM

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,515
Reaction score
28,506
wemasss.png

Habari za chini chini kutoka ndani ya chama cha mapinduzi zinasema kuwa msanii Wema Sepetu anaandaliwa na wakubwa wa chama hicho kuchukua nafasi ya Jokate aliyetumbuliwa hivi karibuni.

Aidha taarifa zaidi zinadai kuwa Jokate atapandishwa juu zaidi na kupewa kitengo kingine "chenye hadhi" ndani ya chama cha mapinduzi.

======================

Diamond’s ex-girlfriend Jokate Mwegelo was recently stripped off of her job at President Magufuli’s party Chama Cha Mapinduzi.
Jokate was the Youth league’s secretary following her appointment on 15 April 2017.

Reports have it that Wema Isaac Sepetu will take up the position previously held by Jokate
An insider of Chama cha Mapinduzi party who spoke to a Tanzanian media outlet revealed that the bongo movie star will take the position of CCM Youth league secretary.

For those who may not be aware Jokate Mwegelo and Wema Sepetu have had affairs with pop star Diamond Platnumz.

The insider said, “ The position of Jokate will be taken by Wema but Jokate will take up a bigger post but for now it will the information will remain confidential and the leaders will not open up on the issue.”.

Vice Secretary General of Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Shaka Hamdu disclosed that the decision to eject Jokate from the position was not based on any faults from her side but it is a normal procedure since she was still on probation.

According to reports Jokate popularly known as kidoti was ousted from her position after the Magufuli led party failed to entrust her with more responsibilities.

One Kheri Denis the Chair of CCM confirmed the news and revealed that the position will be filled by another person.

Wema and Jokate do not see each other eye to eye after Wema found that Jokate who was her friend stabbed her back and dated her then boyfriend Diamond..

Source: http://www.pulselive.co.ke/
 
Kama Jokate alikua ........wa Diamond, Wema anaetajwa kuchukua nafasi hiyo nae na huyo jamaa ndio mambo yalikua moto tangu kitambo,basi hiyo nafasi IWE MAALUM KWA MA X-WA HUYO MSANII

Hayo nimawazo yangu ambayo yamenijia baada ya habari hii
 
Kwani huyo wema ana miaka mingapi??
 
Uvccm nao nawaona Kama hawana za kuwatosha
Kuna mahali scruu zimelegea
 
Aisee... ndo juzi alikua anafanya mazoezi ya kazi pale swimming pool ee
 
ina maana LE MUTUZ hawamuoni kwenye hiyo nafasi.Umdhaniaye ndiye siye
 
wemasss.png

Habari za chini chini kutoka ndani ya chama cha mapinduzi zinasema kuwa msanii Wema Sepetu anaandaliwa na wakubwa wa chama hicho kuchukua nafasi ya Jokate aliyetumbuliwa hivi karibuni.

Aidha taarifa zaidi zinadai kuwa Jokate atapandishwa juu zaidi na kupewa kitengo kingine "chenye hadhi" ndani ya chama cha mapinduzi.

======================

Diamond’s ex-girlfriend Jokate Mwegelo was recently stripped off of her job at President Magufuli’s party Chama Cha Mapinduzi.
Jokate was the Youth league’s secretary following her appointment on 15 April 2017.

Reports have it that Wema Isaac Sepetu will take up the position previously held by Jokate
An insider of Chama cha Mapinduzi party who spoke to a Tanzanian media outlet revealed that the bongo movie star will take the position of CCM Youth league secretary.

For those who may not be aware Jokate Mwegelo and Wema Sepetu have had affairs with pop star Diamond Platnumz.

The insider said, “ The position of Jokate will be taken by Wema but Jokate will take up a bigger post but for now it will the information will remain confidential and the leaders will not open up on the issue.”.

Vice Secretary General of Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Shaka Hamdu disclosed that the decision to eject Jokate from the position was not based on any faults from her side but it is a normal procedure since she was still on probation.

According to reports Jokate popularly known as kidoti was ousted from her position after the Magufuli led party failed to entrust her with more responsibilities.

One Kheri Denis the Chair of CCM confirmed the news and revealed that the position will be filled by another person.

Wema and Jokate do not see each other eye to eye after Wema found that Jokate who was her friend stabbed her back and dated her then boyfriend Diamond..

Source: http://www.pulselive.co.ke/
Hivi kwa nini chama
ki-opt for people like Jokate and Wema Sepetu?To me watu hawa hawana integrity hasa katika jamii.Why don't we opt for better people who can be entrusted with even bigger responsibilities in future?Jamani chama changu,let's be serious akina Wema Sepetu tena va viskendo vyao,mmm.....no.
 
Back
Top Bottom