Wema Sepetu kuwania tuzo za HAPAwards 2020 Nchini Marekani kupitia Filamu ya Karma

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
MREMBO anayefanya poa kwenye tasnia ya filamu nchini, Wema Sepetu, ametajwa kuwa miongoni mwa mastaa wanaowania tuzo za Hollywood And African Prestigious Awards (HAPAWARDS 2020) nchini Marekani.

Wema, ameingia kwenye tuzo hizo akiwania kipengele cha Mwigizaji Bora wa kike wa Tamthilia za Kiafrika kupitia tamthilia yake, Karma inayoruka kupitia chaneli ya Maisha Magic Bongo, DSTV.

Katika tuzo hizo zinazitarajia kufanyika Oktoba 18, mwaka huu zimemtaja pia Christian Bella kwenye kipengele cha Msanii Huru wa Kiume wa Kimataifa huku Zari The Boss Lady akitarajiwa kuwa mshereheshaji mdogo (Co Host) wa hafla hiyo.
 
Hizo tuzo mbona vituo hivi
Wema ni msanii wa bongo movie kweli?
Christian Bela ndio atasielewi nini anahusika nacho huko
Kituko zaidi et zari mshehereshaji kijana?

Hizo Tuzo itakuwa zimeandaliwa na Mange Kimambi
 
Wema bado anaitwa mrembo?

Niliona picha yake ya juzi hapa, yule bure sipigi na ikitokea hata akinitongoza tu namfungulia kesi mahakamani ya kunidhalilisha.
Halafu juzi ndio katimiza "eti" miaka 30 you una maana wakati anakuwa miss 2006 alikuwa ana miaka 16! Kweli bongo nyoso
 
Alikuwa na ☓ kwenye passport yake, sidhani kama ameshamaliza adhabu yake ya ku overstay, labda awe na muwakilishi
 
Back
Top Bottom