Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Hata mimi nimeshangaa halafu pia sikujua kama wema bado ni mfanyakazi wa bongo movie mimi nilijua kazi yake ni skendo na kudangaBongo movie kumbe bado ipo
Wee?Wema bado anaitwa mrembo?
Niliona picha yake ya juzi hapa, yule bure sipigi na ikitokea hata akinitongoza tu namfungulia kesi mahakamani ya kunidhalilisha.
Hizo tuzo mbona vituo hiviMREMBO anayefanya poa kwenye tasnia ya filamu nchini, Wema Sepetu, ametajwa kuwa miongoni mwa mastaa wanaowania tuzo za Hollywood And African Prestigious Awards (HAPAWARDS 2020) nchini Marekani.
Wema, ameingia kwenye tuzo hizo akiwania kipengele cha Mwigizaji Bora wa kike wa Tamthilia za Kiafrika kupitia tamthilia yake, Karma inayoruka kupitia chaneli ya Maisha Magic Bongo, DSTV.
Katika tuzo hizo zinazitarajia kufanyika Oktoba 18, mwaka huu zimemtaja pia Christian Bella kwenye kipengele cha Msanii Huru wa Kiume wa Kimataifa huku Zari The Boss Lady akitarajiwa kuwa mshereheshaji mdogo (Co Host) wa hafla hiyo.
Halafu juzi ndio katimiza "eti" miaka 30 you una maana wakati anakuwa miss 2006 alikuwa ana miaka 16! Kweli bongo nyosoWema bado anaitwa mrembo?
Niliona picha yake ya juzi hapa, yule bure sipigi na ikitokea hata akinitongoza tu namfungulia kesi mahakamani ya kunidhalilisha.
Alikuwa na ☓ kwenye passport yake, sidhani kama ameshamaliza adhabu yake ya ku overstay, labda awe na muwakilishi