Wema Sepetu "Madame" Fans' Special Thread, Njooni tukutane hapa

Lincon

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
465
Reaction score
112
Wasifu wa Wema Sepetu

Miss Tanzania 2006 Wema Abraham Sepetu (amezaliwa 28 Septemba 1988) alikuwa Mrembo wa Tanzania kwa mwaka wa 2006.

Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu(Katikati)

Maisha ya awali, elimu, na sanaa Wema ni mtoto wa mwisho katika familia ya watoto wanne wa Mzee Abraham Sepetu. Alianza elimu ya msingi hadi sekondari amesomea katika shule moja tu iitwayo "Academic International" iliyopo maeneo ya Mikocheni, Dar es Salaam.

Kipaji zaidi cha Wema kiligundulika katika sanaa ya filamu, ambapo alifanikiwa kucheza vema kabisa katika filamu ya A Point of No Return akishirikiana na mchezaji filamu maarufu wa Kitanzania Steven Kanumba.


Wema Sepetu

Amekuwa na mahusiano na watu maarufu wengi wa Tanzania wakiwemo Mr.Blue,TID,Charlz Baba,Vicent Mgosi,Prezzo,Steven Kanumba,James Fredrick,Diamond Platnumz na wengine wengi,ingawa kwa muda huu bado haijajulikana wazi ana mahusiano na nani.

Pia Wema amekuwa akijulikana kwa kuwa na sauti ndogo ndogo.

Wema alivishwa pete ya uchumba na msanii maarufu wa bongofleva Diamond!
 
Si kila mahusiano lazima yawe ndoa mengine ni tuition. Dai hawezi beba hilo zigo alipeleke wapi wakati kuna mabebez wakarez wadogoz weeeengi watamuuuu,jitu halijazaa michirizi mwili mzima km pundamilia ptuuuu atupishe kule Dai haoi bibi bomba alikua anasuuza dushelele tu hapo
 
special thread watu wanasema zimeanza kupoteza mvuto! na uraisi tusemaje? ni matumaini yangu anao washabiki wake watachangia .
 
Nampenda wemaaaa , alivyoachana na ndomo ndomo ndo nimependaa zaidi

Mi na yeye unampenda nani zaidiiii?????????? La sivyo urafiki unaishia hapa hapaa leoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…