Yani binamu kaniboa tunavyomchambaga hivyo leo hii eti kamuanzishia thread mfyuuuuu zimuendee huko alipo
Tena tuondokee tumuachie liuzi lakeeee,,tusirudii
We mbona unampenda ndomo mi sikasiriki, we unafikir mi siumii ehh
Nampenda wemaaaa , alivyoachana na ndomo ndomo ndo nimependaa zaidi
Tena tuondokee tumuachie liuzi lakeeee,,tusirudii
Ndio maana yake, na anajua sana kama ananiumiza tena anafanya makusudi
Mimi hadi Leo siamini kuwa Wema siyo mgonjwa wa kichwa na siku si nyingi mtamuona na Diamond .
Ndio maana yake, na anajua sana kama ananiumiza tena anafanya makusudi
We mbona unampenda ndomo mi sikasiriki, we unafikir mi siumii ehh
Usinichekeshe nawe uliitwa hapa Dina?shost nimebadili ID.
Hahaaaaaaaa nyie ambao hamumpendi Wema mmekuja kutafuta nini huku???? Hii ni special thread kwa fans wake
Cc Dinazarde honeyfaith na miss neddy...
Thread imenichekeshaje hii sikutegemea
Nampenda wema sepetu mpaka naumwaaaa
We mbona unampenda ndomo mi sikasiriki, we unafikir mi siumii ehh