Mie mwenyewe huwa ananikera tena anamsifia ile yakukera kabisa
Haaa haaaa haaaa haaaa uwiiiiii jamani mbona unanichekesha hivyo. kweli una vichekesho wewe.
Basi na wewe mfanyie ujeuri, msifie sana Wema ili na yeye aumie leo hahaha
Tunampa promo tu hapa tuondoke liuzi limdodeee mfyuuuuu
Sasa we huwapendi woteee jamaniii unampenda nani sasaaa
nasubiri uzi wa fanz wa le mutuz!
Hahaaaaaaaa nyie ambao hamumpendi Wema mmekuja kutafuta nini huku???? Hii ni special thread kwa fans wake
Cc Dinazarde honeyfaith na miss neddy...
Thread imenichekeshaje hii sikutegemea
wema ni maji popote ulipo yupo usipomywa utamuoga lol
Kwa hiyo na wewe unampenda wema?
nampenda sana tu lakini vitendo vyake ndo sivipendi
Mfyuuuuu na wema wako
Mfyuuuuu na wema wako
Hhhhhhhaaaa
Mimi zamani nilikua nampenda sana Wema sijui ikageukaje namuona wa thamani ndogo halaf mbayaaa
Acha tabia mbaya Wema mzuri wala sio mbaya.
Nadhani bibie Nifah atatambaa nao huo uzi.
nasubiri uzi wa fanz wa le mutuz!
Unajua nilitoka ndo naingia nimecheka balaaaaaa, duuu si unajua haters hua hatukosekani tuu
Hivu heaven hua unampendea nini wema sikuelewagii!!!niambiee
Mfyuuuuu na wema wako