Wema Sepetu matusi hayajengi

Na bora wasirudiane mana dai kabebeleza mpaka na machozi nashangaa team dai wana mwambia Wema ana machungu

Hujui kuna watu wajuaji sana?wanavyomsemea Wema kana kwamba wanamjua vizuri kuliko mamaake.
 
Wemaz come to me babe am the owner of ze Tanzanite2, just pm. Will u buy BM X6
 
Daaaah nimetoka spidi nikijua umbeya wa moto kumbe hovyo tu

Hiyo sio akaunti ya wema
 
Team wema wana shidaaaaaa.....ukute wema yuko.poa..wao ss full stress
 
Nauliza... wema na diamond wamechana....? Ile harusi ya uwanja wa taifa ndo imeishia hewan....?
 
Domo mbona kaweka wazi kuwa ya BMW na trip za China yamemshinda sasa unasemaje yeye ndo analilia kurudi? Kimsingi yeye ndo kajichomoa ila inaandikwa otherwise.
 
Domo mbona kaweka wazi kuwa ya BMW na trip za China yamemshinda sasa unasemaje yeye ndo analilia kurudi? Kimsingi yeye ndo kajichomoa ila inaandikwa otherwise.

yule hawezi bwaga manyanga kwa madam atachizika mmpeni mwezi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…