Wema Sepetu na Idris Sultan Wazinguana tena

proxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
1,479
Reaction score
1,348

Idris Sultan na Wema Sepetu wamezinguana kwa mara nyingine tena.Kisa na mkasa na Wema kuisusia show ya Idris, Funny Fellas kwa mara nyingine tena huku mshindi huyo wa Big Brother akihudhuria za mpenziwe, ikiwemo Black and Tie iliyofanyika mwezi uliopita.

Baada ya kuchoshwa na tabia ya mpenzi wake kutompa support kwenye show zake, Idris naye aliamua kuipotezea show ya Usiku wa Vigoma iliyoandaliwa na Sepetunga mwishoni mwa wiki – na hapo ndipo mambo yalipoharibika. Mashabiki wa Wema wamekasirika baada ya shemeji yao kuikwepa show hiyo na wanamshambulia Instagram. Kutokana na kuandamwa, Idris amelazimika kuongea:

Sipendi kuona watu wakiingia na kuongea kama wanajua maisha yangu na watu wangu wa karibu, makosa wakifanya wengine mnakuja kwangu mnaanza “Ndio asingefanya vile kama sio wewe kufanya hivi” mnakazana kusema eti naposti wanawake mara ooo porojo kibao. Sina freedom ya kumpost dada angu ? Kweli ? Au rafiki yangu kazindua brand mpya siwezi mpost nikampongeza?

Mnauliza kwanini sijaenda vigoma nimesema because show yangu hakuja hata moja na nimeenda show zake zote na yeye halalamiki because anajua nimesema siendi fair enough mbona hamjaongelea hilo? I repeat nikikaa kimya is for a pure reason that it’s not anyones business this is my personal life kama mnaongeleaga fair basi mngefanya kuuliza kwanini mpaka am selling out hajaja.

“Give me a break sina maisha ya kuigiza lets have respect for each other bana. Na nimesema msiniite shemeji for one big good reason, imekua too much i am a brand na jina idris linamezwa na shem, ningejua this from the beginning nisingeruhusu mniite tangu mwanzo so msiwe kila kitu mnafikiria negative tu. Na sikuwa na haja ya kuandika yote haya pia TusichukulianePoa.


Hata hivyo Wema naye alimpigilia msumari wa moto Idris kwa kupost picha ya wanaume anaowapenda #MCM (Man Crush Monday) na mmoja wao ni Diamond.
 
Ujinga 1st class....Tz showbiz ni SIFURI..
Drama km za O-Level
 
Kina mtu mmoja alisema kuwa idris hachekeshi ila team madam wanavyocheka hao wakisikia kipindi chake ila wakizinguana na madam hata wachekeshwe vipi hawacheki ng'o swali je team mama ubaya kwa case hii idris anawashabiki wa kipind chake bado au ndo hawachekeshwi tena wamegundua mambo anayozungumza ni majojolijo??
 
Huyo idris ni washed up kwa sasa. Ni sell out.... Na huyo mwanamke wake anamletea gundu tu. Akache mapema kabla visenti havijakata vyote.
 
Idriss anaheshimu ukubwa wa jina lake ndio maana hajakwenda kwenye vigodoro!
Hivi kweli wewe mwanaume na akili zako unakwenda kumuangalia mwanamke wako ana tikisa matako mbele ya mamia ya watu halafu unasema eti ana support!!
Kwahili idris nimempongeza is more than vigodoro/vigoma.wema ameshajishusha hadhi yake she is too local sasa hvi.
HONGERA IDRISS kama umeachana na hili tatizo Mungu atakusaidia utafika mbalii
Mshukuru sana muumba amekutoa katka mzigo mzito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…