Wema Sepetu na maadili ya runinga zetu

Wema Sepetu na maadili ya runinga zetu

kipindi kinaitwa WEMA SEPETU - UNDER MY SHOES. Wema pamoja na mambo mengine anaonekana akiwa uchi anapiga picha. hata kama uchi wenyewe umefichwa kwa majani, na wakati anatembea maziwa nje picha zinafichwafichwa kwa computer lakini haizuii content kwamba wema anatembea uchi. Baadae anaonekana akiwa amevaa majani nusu uchi. Mpaka sasa sielewi ni elimu gani alikuwa anatoa ama ni makusudi gani alikuwa nayo kwa jamii. Lakini pia EATV wanataka vijana wetu wawe wanatembea uchi? ama watupe c-h-u-p-i na waanze kuvaa majani? Tanzania tumekosa maadili kiasi hiki hadi tunaachia vichaa watuonyeshe njia ya kwenda kweli? MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI TANGANYIKA!


Anytime na anywhere uonapo watu wanamshupalia mwehu na kumfanya a role model basi juwa kuna tatizo hapo.
 
would you like your daughter to behave the same way?

Makuzi ya mtoto ndio yatakayoonyesha mtoto ataishije, "Mtoto uleavyo ndivyo akuavyo". Hivi umewaza mama yake wema anayaonaje maisha yake? think about that ukichukulia mambo kijuu juu you will only see the negative side of it.
 
Tatizo tulikubadili utandawazi na kukua kwa teknololjia ni tatizo Duniani mila zetu tumeziacha, hivyo kama unataka Watanzania waishi kama wewe unavyotaka ondoa tv, komputazote, simu nk

Nimekuwa ulaya japo kwa miezi mitatu. Majarida ya ngono yanafichwa mbali. Hata kama hakuna wamachinga bado huwezi kukuta gazeti la ngono ama movie za ngono eneo la wazi supermarket bali maduka yake yanakuwa underground ama eneo lolote isiyoonekana kirahisi. Picha za ngono ndio zinaoneshwa lakini ni usiku mkubwa wakati inajulikana watoto wamelala na hawana ulimbukeni wa kuwa na TV kila chumba kama sisi tunavyofanya. Asili yetu ni kuwa tulikuja tuko uchi kama wanyama. Utashi wa akili Mungu aliotupa ndio unatuambia hapana tusitembee uchi kama mbuzi bali tufiche tupu zetu. Ikiwa huna akili ya kuficha tupu wewe unakuwa kama mnyama tu na ndio maana wahadzabe tunawashangaa maana tunawaona kama wanyama tu! kama ni uongo vaa majani nawewe kesho ukiingia ofisini kama hatujaenda kukupima kichwa!
 
Tatizo tulikubadili utandawazi na kukua kwa teknololjia ni tatizo Duniani mila zetu tumeziacha, hivyo kama unataka Watanzania waishi kama wewe unavyotaka ondoa tv, komputazote, simu nk

hapana hukunielewa. wazungu ndio wazee wa utandawazi. Ila katikati ya utandawazi wana miiko yao. Ndio maana hawana tatizo la watoto kutokumaliza shule kwa sababu ya mimba. Je unajua kwamba ni raisi kumpata msichana wa kizungu akiwa bikira? sasa pekua Tanzania kama utakuta bikira hhovyohovyo! tunapokea bila kuchunguza na miiko yetu tunaona ni ujinga! simu ziwepo na tv ziwake lakini miiko yetu ifanye kazi.
 
Makuzi ya mtoto ndio yatakayoonyesha mtoto ataishije, "Mtoto uleavyo ndivyo akuavyo". Hivi umewaza mama yake wema anayaonaje maisha yake? think about that ukichukulia mambo kijuu juu you will only see the negative side of it.

Hata kama yeye anashabikia kuona mwanae akianika tupu zake bado tutarudi palepale kwamba tuna shida kwenye malezi!
 
:target::target::target::target::target::target::target::target::target::target::target::target::target::target::target::target::target::target::target::target::target::target::target:
Wewe mtu mzima uanendaje kuangalia hicho kipindi waachie vijana hafu sikuhizi kila mtu anaking'amuzi kwahiyo siyo lazima hiyo channeli iwepo unaweza kuifuta
Siku nyingine usilete katika
jukwaa la siasa, peleka jukwaa la burudani.
 
Hivi hii TV imeshindwa kabisa kuwa na watu wenye maadili hadi kufikia kuingia makubaliano na Huyu MCHARUKO? Hana tofauti na TEJA kwa matendo yake maovu! Mzee Mengi mulika chombo chako mangi!
 
Wema ni malaya jamani mwisho wake utaishaje? Mbona ataipenda? Ndo utasikia natafuta bwana natamani kupata mtoto huku kasahau kizazi alisha mtupiaga mbwaa akala nso yakina ray c ayo na johari ?
 
wakuu tatizo nilionalo ni moja na ni kubwa sana kama litaachwa liendelee na itakuwa ni dogo kama sote tutawajibika na malezi sahihi ya watoto wetu,
hebu tafakari baba anavaa kata k mama naye anavaa tight ambayo inaonyesha mchoro halisi wa umbile lake unataraji huyu mtoto anajifunza nini kwa wazazi wake?
ni vyema hili liwe jukumu la kila mmoja wetu katika majumba tunayoishi bila kuisubiri serikali ama sheria ya nchi ije kurekebisha jambo ndani kwako.
 
Hata kama yeye anashabikia kuona mwanae akianika tupu zake bado tutarudi palepale kwamba tuna shida kwenye malezi!

Kama yeye mwenyewe ameridhika then let her be man. Kila channel za Tv zinawapenzi wake na kama unamkuta mtoto anapendelea kuangalia hizo Tv shows am sure you will find a way to teach him/her. Mimi nlikua napenda kuangalia horror movies na zimesababisha kuogopa midoli mpaka sasa so there is an effect in everything.
 
hivi hakuna picha? maneno mingi yanachosha ubongo
 
Mkuu usituharibie burudani, wengine hatuwez kumpata wema live tukaona matiti na... basi acha tuone japo kwa macho

Matiti yenyewe fake yanafanyiwa repair china hayo mwili wote fake ila nampenda sauti yake tu lol
 
:target::target::target::target::target::target::target::target::target::target::target::target::target::target::target::target::target::target::target::target::target::target::target:

Unamaanisha nini? mimi siyo mtaalamu wa katuni!
 
hapana hukunielewa. wazungu ndio wazee wa utandawazi. Ila katikati ya utandawazi wana miiko yao. Ndio maana hawana tatizo la watoto kutokumaliza shule kwa sababu ya mimba. Je unajua kwamba ni raisi kumpata msichana wa kizungu akiwa bikira? sasa pekua Tanzania kama utakuta bikira hhovyohovyo! tunapokea bila kuchunguza na miiko yetu tunaona ni ujinga! simu ziwepo na tv ziwake lakini miiko yetu ifanye kazi.[/QU

Wazungu bikra utazipata kwa nadra sana! wao hawafagilii bikra ndo maana husikii mtu kijinasibu eti ninabikra. Hivi wewe hujui kuwa kutumia simu, tv ni kuendeleza mila za wengine Haswa Asians, Europeans and Amricans? Na hujui kuwa mfumo wa elimu unafundisha zaidi tamaduni na ustaarabu wa kimagharibi na kiarabu? Dini nazo vilevile? Kama unataka kuwa na maadili epukana na vitu wanavyotumia wageni kuendeleza mila zao.
 
Back
Top Bottom