Wema Sepetu na Millard Ayo wapata shavu la kutangaza gari aina ya Mitsubishi

Nukta5

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Posts
1,182
Reaction score
1,288
Baada ya kuonekana video kwenye account zao Wema Sepetu na Millard ayo na wakitaka watu wabashiri inahusu nini hiyo video "the package", Leo imejulikana ni tangazo la gari jipya aina ya Mitsubishi ASX ambapo celebrities hao wamepata shavu la kulitangaza hapa bongo.
Hongera Millard Ayo kwa kuizid kupiga hatua na Wema Sepetu.

=================



Makampuni mengi ya kimataifa yameanza kuamka na kutambua kuwa ili kufikisha ujumbe wao kwa wanunuzi, ni bora kuwatumia mastaa wa ndani.


Hivi karibuni, Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo, wamepata shavu la kutangaza gari jipya la kampuni ya Mitsubishi aina ya ASX. Kwenye tangazo la gari hilo, mastaa hao wenye ushawishi mkubwa wanaonekana wakisifia vitu mbalimbali vilivyomo kwenye gari hilo.

Chanzo: BONGO5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…