VOICE OF MTWARA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 2,987
- 1,954
Yap, hyo brevis ni ya mda na ndomo ndo aliyemnunulia, sasa uwongo uko wapi labda ? Au umekunywa Gongo mkuu
si nilisikia wema ana nyumba yenye thamani ya milioni mia nne na ina kicounter kidogo ndani tukawekewa mpk picha zake..
Ndio hyo mkuu, bwana wake kweli alinunua na kumkabidh, ndo maana alijitamba mitandaon kuwa ni yake , alikuwa na haki kwa kipindi hcho, ila alivyokuja kuzingua ndo mambo yakamgeukia
si nilisikia wema ana nyumba yenye thamani ya milioni mia nne na ina kicounter kidogo ndani tukawekewa mpk picha zake..
sasa hapo si anakuwa anajidangnaya mwenyewe tu.!! kwani ana mdanganya nani?Ndugu yangu mndengereko wasanii wa bongo akisema anamiliki kitu sikia kwa sikio la kulia na acha lipitie sikio la kushoto.