Wema Sepetu na Shigongo nini kinaendelea?

mamakibunju

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2013
Posts
1,009
Reaction score
221
Nashindwa kuelewa nini kinachoendelea kati ya eric Shigongo na Magazeti yake na Wema sepetu, Juzi kati walikuwa wana ugomvi mkubwa mpaka wema akaenda kuvamia office Za kampuni ya Global publisher, Lakini weekend iliyopita wema sepetu ameonekana akikata utepe wa kuzindua Global Tv Online...Mwenye kujua zaidi uhusiano wao hatujuze tafadhali.


 
Mama mjini mipango ya kuzimeiki manee ndio habari...
 

kinachoendelea ni biashara kati yao ambayo inakutegemea sana wewe kama mteja wao
 
Wala usiumize kichwa mkuu walikuwa wanaigiza tu,GPL wamnunie Wema Sepetu watakula wapi? Wema Sepetu awanunie GPL atatangaza umalaya wake wapi?
we kweli mchambuzi!!!!!
 
Wala usiumize kichwa mkuu walikuwa wanaigiza tu,GPL wamnunie Wema Sepetu watakula wapi? Wema Sepetu awanunie GPL atatangaza umalaya wake wapi?

na kama siku mbili zake baada ya movie yao wakamwandika tena alivyogombana na kajala
 
Nilijua hilo hawa ni mob moja walichelewesha malipo yake na domo hatoi hela,ikabidi alianzishe ili apewe chake
 
Walikua wanaigiza tu wala hawajagombanaa, wanafanya biasharaaa hapo wenzenu

mmmh anaogopa tu wataungana wema na uwoya wamtolee mauchafu yake hadharani na kumnyamba kwenye TV kama walivyomfanyia wolper, alivyomualika naona alikuwa anajikosha tu kumaliza bifu maana alijua akiongeza maadui ndivyo kasi ya kumuangamiza itaongezeka.

Kuhusu eti kwa kuwa bila wema magazeti hayauzi sio kweli, watu wanapenda umbea tu japokuwa wema pia anafuatiliwa sana, nakumbuka kuna kipindi jide aliandamwa na shigongo hadi akawatukana na kuwaambia bila yeye hawawezi kuwa na jeur ya kwenda chooni, ila sio kweli mbona sasa ivi haandikwi na bado magazeti yanauza? Global ndo wanaamua Nani awe on top kwenye magazeti yao , wakianza kumtoa Hamisa na scandal mbali mbali mbona wema mtamsahau??
 

Ila itawabid watumie nguvu nyingi kumpromote huyo mwingine hadi jamii ianze kumtolea macho kama Wema wakati wangekuwa wameshapiga hela nyingi kwa kumuandika Wema ambaye yuko vichwani mwa wapenda umbea tayari
 
wanafanya patnership business kila mtu anacapital yake shigongo ya rawmaterial wema ya vituko vyake vya mjini.
 


Global waliisha mchukulia wema sepetu kama Taira tu !
We ukuona jamaa alivyomshauri kwamba ana pysichological problems

Na pia akili ni nywele ! Wema sepetu anapara !
 
Ila itawabid watumie nguvu nyingi kumpromote huyo mwingine hadi jamii ianze kumtolea macho kama Wema wakati wangekuwa wameshapiga hela nyingi kwa kumuandika Wema ambaye yuko vichwani mwa wapenda umbea tayari

Kwa hyo global bila wema magazeti hayanunuliki?? Wabongo wanapenda umbea wa mtu yeyote maarufu , wanapenda kusikia mabaya ya watu maarufu kuliko mazuri, ila I'm telling u wakianza kumpa promo Hamisa na kumwaga wema bhaas wema atakuwa hana chake.
Kwa global ndo wanajua jinsi ya kumtengeneza mtu yeyoye awe maarufu kama hujui, na ndio maana wema anafahamika si kwa ajili ya kazi bila scandal za magazeti
 
Mastaa wa bongo na skendo zao na Magazeti ya udaku nothing is real...! Wanacheza na akili zetu tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…