wangewange
Senior Member
- Oct 4, 2013
- 189
- 43
Hahahaha umenfurahisha et madem wa diamondhhahahahaaaa... kwa hiyo Junaitha naye atakuwa celeb hapa jukwaani kwa kuwapatanisha ma demu wa diamond..!!
Eti ana shoot video na bosylady full kubambiana cjui ndo movie inaendeleaAfadhari wamepatana kisa cha kununiana mwanaume mwenyewe anatembeza mtwangio kama hana akili nzuri, ila ndo Wema atambue hawezi kumbadilisha Dai na apatane na Kajala pia.
Eti ana shoot video na bosylady full kubambiana cjui ndo movie inaendelea
Ndio nani huyo ebu weka picha yake huyo mpatanishajii tafadhali ....
wapi team mavimavi kumtukana penny kutwaa kumuita penseli mtoto wa watu
mbona tumeumbuka
Hahahaaaah mpatanishaji ni mdada ana jishape la ukweli lakini sura yake ina mabaka hatariii...alafu eti nae anauza vipodozi...
Hahahaaaah mpatanishaji ni mdada ana jishape la ukweli lakini sura yake ina mabaka hatariii...alafu eti nae anauza vipodozi...