Wema Sepetu na VJ Penny wapatana

Hahahahahahahaha nicheke mimi this is dram love wasichana mlio na pic embu achen kutumika jaman hikubalin hali halisi za watu wenuu
 
Mtagombana tena mtapatanishwa tena hawa wanaitaji maombia ila kwa upande mwingine ni biashara pia media magazeti ndi hi sizon
 
Haswaaaaa. ....

Hao wanaonunuaga vipodozi vyake sijui kama ni wazima...eti "tumia sabuni na cream ya mawese kutoa mabaka yanayotokana na matumizi ya mikorogo" ajabu yeye sura yake iko kama fisi...
 
Dushe liliwagombanishaa na dushee limewapatanisha!!acha projectiii ziendelee
 
wadada wa mikorogo hao inawaweka mjini kina mama ubaya wacha.....iendelee episode ya ngapi vile!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…