Wema sepetu ndani ya police kawe,aswekwa lok up

dr.makarang

Member
Joined
Jul 5, 2013
Posts
98
Reaction score
25
habari wana JF.
Kuna taarifa isiyo rasmi ya star wa bongo movie,ms Wema Seputu,kuwekwa lockup ktk kituo cha police kawe kwa kosa la kumpiga manager wa mediteranian hotel iliyoko kawe beach wiki moja iliyopita.

Kwa mjibu wa chanzo cha habari,star huyo amekua akidanganya kutokuwepo nchini mpaka leo police walipo weka mtego nyumbani kwake na kumkamata.
 
amezoea kwa marA YA KWANZA KAPASUA KIOO cha gari ya kanumba kasokwa ndani leo tenA MAJANGA MENGINE
 
Wema anapenda fujo eeh?
Anyway, sheria ifuate mkondo wake..
 
Jinga sana huyu wema ni mwanamke wa aina gani
 
ngoja nifanye mipango kama yuko ndani nimtoe.nyie mnalalamika amjui manager alifanya nin adi akapigwa. mwachen wema
 
anapesa na uzuri (police lazima walambe mipesa yake na uzuri pia)
hatalala ni zuga tu kama kweli amekamatwa......
 
Ndugu wanajamvi nakumbuka kuna siku za nyuma niliwahi kuandika comment zangu juu ya uchafu anaofanya wema na wenzake juu ya kupiga picha za uchi na kadharika, majibu yanaanza kupatikana,who is wema by then? tatizo hapo kuna watu watalegezewa macho naku......................ndani guseni mnate.wema!:A S-fire1: au ubaya sepetu.
 

Ndo nani huyo? Weka picha
 
Kama ni Hotel Mediterano ile ya baharini Kawe namuunga mkono Wema hata kabla sijasikiliza kesi coz utawala wa pale wana nyodo sana pale, kuanzia yule mzungu mwanamke mmiliki. mi mwenye siku moja kidogo niwatandike makonde wale. Msianze kumhukumu Wema hata hamjajua mazingira ya pale. Good job Wema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…