Wema Sepetu: “Niliposema watu waliniona mjinga lakini sasa Jokate kaumbuka”

Kidume yupi ungekuwa kwenye position ya kulamba Wema usingepiga?? Position nyingine inakujia ghafla ya kupiga Jokate usingekula......????? Diamond watembezee ni wakati wako, ni msimu wako....

...awe tayari pia kwa msimu ujao.
 
Jamani mwambieni Jacklne wolper,nampenda.Kwa m2 mwenye namba yke anipe.
 
Haka ka jokate nliwahi kusikia kalishatafunwa na mkubwa mmoja wa CRDB, alafu kakampa zawadi mtoto wa huyo mkubwa, nae hakusita akamtafuna. Nikawa siamini kabisa aisee! Kumbe haka katoto noma eeh?
 
nasikia Anti Ezekiel kashamuovateki Jokate,duh hawa wanawake ni balaa
 
na karibu atatutangazia fb kuwa sasa yupo na aunt! wananipa raha sana wasanii wetu! jokate kaumia sana kupitia mshkaji wake sintah, kasahau kuwa muosha, huoshwa!
 
Kanyaga twende dogo ngoja tutafute mwingine umwingize kwenye kalist kako...
Nahisi huyu dogo anatafuta mashairi ya kamwimbo kapya ukizingatia mshauri ni mama yake!!!! Kazi ipo
 
Haka ka jokate nliwahi kusikia kalishatafunwa na mkubwa mmoja wa CRDB, alafu kakampa zawadi mtoto wa huyo mkubwa, nae hakusita akamtafuna. Nikawa siamini kabisa aisee! Kumbe haka katoto noma eeh?

Kanaitwa Silent Killer..patient,precisley,neat and behind the curtain..! as long as you got u'r self cheddas or name around downtown must be her next target..!
 
 
 
kuna mtu yeyote mwenye ushaidi juu ya diamond na matumizi ya condom....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…