Wema Sepetu: Niliuweka pembeni "u-star" wangu ili kuwa na Munalove,lakini ushamba wake umenishinda

barafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
6,739
Reaction score
32,880
image.png

Wema Sepetu baada ya kuhojiwa na Kipindi cha E News cha Clouds FM ameulizwa kuhusu bifu lake na Muna na Kudai kuwa yeye huwa hadeal na Washamba akaongeza kusema kuwa urafiki na Muna ulikuja akijua Muna ni Mshamba lakini alikubali kuweka Ustaa Wake pembeni na kukubali awe Rafiki yake lakini mwisho wake ndio yaliyotokea.... 'Me I dont deal with washamba, i knew she was mshamba alivyokuja lakini nilisema nisiweke ustaa nimchukulie kama vile jinsi alivyo'.
 
Sidhani kama kuna uhitaji wa kuwa daktari kugundua Wema ni mgonjwa wa Kichwa na anahitaji kupelekwa rehab...
Sasa hivi ukimchukia Rayc na Wema na ukajaribu kuwalinganisha kama utafikiri kwa kina lazima ugundua Wema ni mgonjwa zaidi.
 
Asee kama u don deal with 'washamba' ilkuaje ukakubali awe rafikiyo from the first place????

Mshamba ni wewe Wema usojua kutumia akili yako na jina lako kuwa utakapo...

Ulishindwa ku use nafasi yako,Muna kaitumia na kafaidika probably...

Pole Wema huna jipya,ushagombana na kila mtu sijui akitoka Muna who will be next....
 
View attachment 431026
Wema Sepetu baada ya kuhojiwa na Kipindi cha E News cha Clouds FM ameulizwa kuhusu bifu lake na Muna na Kudai kuwa yeye huwa hadeal na Washamba akaongeza kusema kuwa urafiki na Muna ulikuja akijua Muna ni Mshamba lakini alikubali kuweka Ustaa Wake pembeni na kukubali awe Rafiki yake lakini mwisho wake ndio yaliyotokea.... 'Me I dont deal with washamba, i knew she was mshamba alivyokuja lakini nilisema nisiweke ustaa nimchukulie kama vile jinsi alivyo'.
mbona wema kazeeka hivi ghaflaaa

image.png
 
Wema ujanja wako mjini ni nini? Kama ni ustar mbona hauna class? Watoto wadogo waliotoka mikoani wamengia mjini wengi wao walikuja kujiunga na UDSM sasa wamemaliza shule, wanafanya kazi, bado jioni utawakuta Mlimani City wakielekea UDSM wanafanya post graduate zao evening classes, wale tunaweza kuwaona wajanja.

Hata Lulu tunaweza kumuoana mjanja, anamiliki biashara, hana magroup ya marafiki wala siri zake hazivuji ovyo. Wema angalia wapi unakosea ujirekebishe, kiburi si uugwana.
 
Asee kama u don deal with 'washamba' ilkuaje ukakubali awe rafikiyo from the first place????

Mshamba ni wewe Wema usojua kutumia akili yako na jina lako kuwa utakapo...

Ulishindwa ku use nafasi yako,Muna kaitumia na kafaidika probably...

Pole Wema huna jipya,ushagombana na kila mtu sijui akitoka Muna who will be next....
Kila mtu anamuogopa nani anataka ushoga wakuja kuanikana IG
Sasa hivi kila mtu na mtoto wake kuanzia snura,kajala,aunt mpaka Muna
 
View attachment 431026
Wema Sepetu baada ya kuhojiwa na Kipindi cha E News cha Clouds FM ameulizwa kuhusu bifu lake na Muna na Kudai kuwa yeye huwa hadeal na Washamba akaongeza kusema kuwa urafiki na Muna ulikuja akijua Muna ni Mshamba lakini alikubali kuweka Ustaa Wake pembeni na kukubali awe Rafiki yake lakini mwisho wake ndio yaliyotokea.... 'Me I dont deal with washamba, i knew she was mshamba alivyokuja lakini nilisema nisiweke ustaa nimchukulie kama vile jinsi alivyo'.
Yupi ni wema kati ya hao kwenye picha?
 
Back
Top Bottom