mbona wema kazeeka hivi ghaflaaaView attachment 431026
Wema Sepetu baada ya kuhojiwa na Kipindi cha E News cha Clouds FM ameulizwa kuhusu bifu lake na Muna na Kudai kuwa yeye huwa hadeal na Washamba akaongeza kusema kuwa urafiki na Muna ulikuja akijua Muna ni Mshamba lakini alikubali kuweka Ustaa Wake pembeni na kukubali awe Rafiki yake lakini mwisho wake ndio yaliyotokea.... 'Me I dont deal with washamba, i knew she was mshamba alivyokuja lakini nilisema nisiweke ustaa nimchukulie kama vile jinsi alivyo'.
DahMkuu hajazeeka gafla anazeeka tu taratibu.
Kila mtu anamuogopa nani anataka ushoga wakuja kuanikana IGAsee kama u don deal with 'washamba' ilkuaje ukakubali awe rafikiyo from the first place????
Mshamba ni wewe Wema usojua kutumia akili yako na jina lako kuwa utakapo...
Ulishindwa ku use nafasi yako,Muna kaitumia na kafaidika probably...
Pole Wema huna jipya,ushagombana na kila mtu sijui akitoka Muna who will be next....
Watindiga? Ututake radhi na sisi pia wabongo.Munaluv ndio ka peleka mchupi wa Wema Sepenga Tanga kwa Mganga.
Bongo bhana full watindiga yaani hata sauti zao haziwasitiri kuficha nyuchi zao
Yupi ni wema kati ya hao kwenye picha?View attachment 431026