Wema Sepetu: Niliuweka pembeni "u-star" wangu ili kuwa na Munalove,lakini ushamba wake umenishinda

hahahaaa jf raha sana
mwacheni mtoto wa watu ale maisha
bia za bure za fiesta zilimvuruga akili
 
Wema anatumika sana aisee hasa kingono kila mwanaume na yeye ili mradi tu amtoe hela, mipombe madawa ya kulevya lazima akongoroke tu ka lilivo gari lisipotuzwa huchakaa
Dah kweli mkuu.
Huyu ni wa kuonea huruma tu, maana kila size ya dyudyu keshaonja huyu.

Na hao ni wale wanaojulikana kwa public, sasa wale behind the scene nadhani ukiwapanga mstari wanatoka Kimara mpaka Manzese...
 
It's matter of time tu hapa.... Time will tell... Itafika wakatii... Itakuwa historia na hayo majigambo yao.... Umri tatizo Umrii.

Wataibuka wengine. Kila siku wao tu humu kwenye mitandao....
 
Dah kweli mkuu.
Huyu ni wa kuonea huruma tu, maana kila size ya dyudyu keshaonja huyu.

Na hao ni wale wanaojulikana kwa public, sasa wale behind the scene nadhani ukiwapanga mstari wanatoka Kimara mpaka Manzese...
Unajua sisi wanaume ni watu wa ajabu sana, Leo Kuna Mwanaume akimtongoza Wema na hakikataa.. Anatengeneza chuki, au bifu.. Pamoja na umama huruma wake tunaousema.... Na ukimtongoza akikubali.. Tunaenda kutangaza kua ni laini sana...

Wanaume hatuna jema kutoka kwa wanawake, akikubali tunasema mrahisi akikataa tunasema anaringa
 
mweh pole ila hakuna mbongox asiyejua Wema ni mshamba
 

Huyu nae ana shida zake kila rafiki ni mbaya
 
Sasa wewe mama,unazeeka huku unawaza mapenzi tuuu,huo wako ni ustar au u pornstar???
 
Mwanamke akikosa akili sehemu za siri ndo zinazoumia.by comrade mugabe
 
Wema ndio ana matatizo. Kwake kila rafiki mgomvi tu na hajui kuwa na privacy. Kila kitu kwenye media.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…