Wema Sepetu: Ninammiss sana Diamond, sema IQ yake ndogo

Naomba mtu ani shawishi kwa sababu tano tuu kuwa Wema sepetu hato changanyikiwa baada ya miaka miwili!
 
Naomba mtu ani shawishi kwa sababu tano tuu kuwa Wema sepetu hato changanyikiwa baada ya miaka miwili!

Wenyewe watakwambia ivi...
1.kwa sababu mzuri
2.anapendwa sana
3.amepata mwanamme mzuri sana
4.ana mashabiki wengi
5.ana magari
 
mwenye iq kubwa anamzungumzia x wake mda woteee,
anaendekeza ngono na waume za watu tena mibabuuu...
anafagilia vigroup vya kiswazi swazi vyenye kuendekeza matusi ya ajabu ajabu tuuuuuu....
duh kumbe hii ndo iq kubwaaaabas sawaaaa......!!!
 
Wema rudi nyumbani Mchambawima, baba yako mdogo pale kibanda maiti naye anaikuita. Dhamira yao ni kukufunda upya ili uendani na mila za kizanzibari.

Hivi kwanini wewe na Salama Jabiri mnakuwa kielelezo kibaya cha mabinti wa zenji?

Njoo nyumbani wema tukufunde.
 
Wanawake naomba msaada kwanini wema anapenda kuongozana na mashoga/sengesi wanafaida gani wanaume vile kwake?????
 
Imebidi niende chungulia insta nakutana na mfuasibwake ame post miss ruvuma kumtukana na kumkandia Zari alafu yeye anamsifia wema na kusema ni jirani ndugu, ndugu yake....yaani wanahaa haswa sasa kama wewe jirani ndugu si lazima uumie mwenzako kumuacha boyfi na kujuta kwa maneno yake....wamechanganyikiwa panya road...wanaongea ushauri wa pumba wakati mwenyewe kashanena...bora waambiane ajiendelezeje kumsahau sio kuzidi kutukana....miguu mizuri wanaita ya tende....ma panya road haswa wao
 
Wenyewe watakwambia ivi...
1.kwa sababu mzuri
2.anapendwa sana
3.amepata mwanamme mzuri sana
4.ana mashabiki wengi
5.ana magari

Teh Teh ....kwanza nimeshangaa sana yeye kusema hadharani kuwa alishatoa mimba na nitazidi kushangaa sana...yani ana jaribu kuhudhihirishia Umma kuwa ana uwezo wa kubeba mimba kwa kusema hadharani alishapata mimba hila aliamua kuuwa kiumbe.Huyu ana sahau majuzi amesema hana uwezo wa kubeba mimba! Bado kitambo kidogo ana changanyikiwa...
 
pia AME MOVE ON

Ndio maana naamini Wema anacho onesha ni dalili za kuchanganyikiwa kabisa..mtu anasema ame move on halafu bado anatuma tuma sms kwa ex wake..kwanini huu si uchizi?
 
Huyu dada vipi jamani

Kachanganyikiwa tu kila siku anashuka chati.alidhani alivyombwaga diamond ataadhirika,matokeo yake anaadhirika yeye.hata tabasamu lake ni la kulazimisha.mtasikia siku kafa ghafla kwa kihoro
 
Ndio maana naamini Wema anacho onesha ni dalili za kuchanganyikiwa kabisa..mtu anasema ame move on halafu bado anatuma tuma sms kwa ex wake..kwanini huu si uchizi?
Post relationship psychological disorder..anaweza kufa ghafla huyu
 
Mi Naapa Wema Hawezi Kupata Mume Bongo Hii Au E.Africa Hii.Labda Akajaribu Bahati Yake Syria.Coz Hata Mjinga wa Mwisho Siku Hizi Hakubali Kuoa Kahaba.

Mwacheni Aendelee Kujifariji Na Mapaka Na Mambwa Anayofuga.Kizazi Kimeshaliwa Na Mchwa!
Mungu si mtu jamani, huwezi kuapia km una ahadi na Mungu. Pia ukiona cha nini wenzio wanauliza watakipata lini
 

??????
 
Wanawake naomba msaada kwanini wema anapenda kuongozana na mashoga/sengesi wanafaida gani wanaume vile kwake?????
yan utadhan tunashare ubongo...m mwenyewe huwa najiuliza y anapenda kukaa na mapunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…