Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
kweli mapenzi uchiziNdio maana naamini Wema anacho onesha ni dalili za kuchanganyikiwa kabisa..mtu anasema ame move on halafu bado anatuma tuma sms kwa ex wake..kwanini huu si uchizi?
tuache kuponda tu hovyo au ndo mambo ya IQ . huyo kawa mkweli kiubinadam mtu mlokaa miaka mingi in relationship hata mkiachana kuna vitu unavikumbuka hata kama hauhitaji mrudiane jaman na nyie mshakuwa na ma ex
amesema aliitoa kwa sababu alikua mdogo sa kama mdogo sijui mimba iliingiaje kwa mtoto mdogo basi asilalamike AKIWA MKUBWA ATAPATA NYINGINETeh Teh ....kwanza nimeshangaa sana yeye kusema hadharani kuwa alishatoa mimba na nitazidi kushangaa sana...yani ana jaribu kuhudhihirishia Umma kuwa ana uwezo wa kubeba mimba kwa kusema hadharani alishapata mimba hila aliamua kuuwa kiumbe.Huyu ana sahau majuzi amesema hana uwezo wa kubeba mimba! Bado kitambo kidogo ana changanyikiwa...
Ha ha ha ha lolHawa nimeshachoka kuwasikia kwa kweli...hivi kwa nini wasikamatwe kama gwajima wafunguliwe mashtaka kwa kutusababishia usumbufu
kweli mapenzi uchizi
Tayari ameshachanganyikiwa sema tu magonjwa ya akili huwa yametofautiana na wengi wetu mpaka mtu avue nguo au aongee barabarani ndio huwa tunaona amechanganyikiwa kumbe hata wale wenye majivuno yaliyopitiliza ni ugonjwa piaNaomba mtu ani shawishi kwa sababu tano tuu kuwa Wema sepetu hato changanyikiwa baada ya miaka miwili!
Only applicable kwa Tanzania usiniulize kifungu gani cha sheria ila niulize matukio gani yalishatokea na watu wakaachiwa simply becoz walijitangaza hadharani kuanzia makanisani mpaka uraiani, kesi za umilki wa silaha, wasanii wanahojiwa redioni wanasema wanavuta bangi wengine wanasema walivuta bangi n.k (kwa sie maamuma wa sheria kwa tafsiri ya haraka haraka tunajua ukifanya hivyo unakuwa salama vinginevyo nipe madini ya kisheria)Mkuu hizo ni sheria za nchi gani?
Mimba moja TU....
Hahahahaha!!!
Ila Kanumba noma sana
Mtu mwenyewe unayemtumia meseji Diamond, ataiscratch-scratch na kuitafsiri vinginevyo. Akili zenu wote pwagu na pwaguzi.
Hivi me sijui ndo macho yangu mabovu,ingawa siwajui vizuri hawa mabinti,lakini naona ka Wema ni karembo kuliko huyo zari.
Wanawake wa jamiiforums mnamchukia Wema sababu kawazidi uzuri na pesa mchweeew. Wote hamna maisha wivu umewajaa kama nini na mtaisoma namba sasa hivi madam ana mshefa wa ukweli bado pete tu kachoka kuwa na masharobalo wasio na hela.
Wema ndiye aliyemtangaza kwenye magazeti na kamfundisha ata kuongea english akienda nje. Tuongee ukweli jamani diamond hana shukrani ata kujibu sms ya ex wako huo ni uswahili mganda anamchuna tu.
Chukua ma like ya ukweli.....yaan umesema kweli haswaa.....yaan watu wanalalia ugali tembele kila siku na siku nyingine wanakosa....MB zenyewe za kuingia Jf ni mpaka wavizie wireless za watu ila sasa humu ni Wema Wema.... mwenzao ana maisha yake na anajiweza sasa hao acha watape tape utazani dai ni mume wao......heheheeeeeee
hivi unajuwa virutubisho vinavyopatikana kwenye ugali na matembere? Acheni dharau