Wema Sepetu: Ninammiss sana Diamond, sema IQ yake ndogo

kwisha habari yake!!!mwenzake K-lyn ana twin wake swaaaaafi!!ndio tatizo la kuishi kwa mzee Mwalugali!!alafu we meeeeeeeeryyyy
 
Hivi hawa watoto akili zao ziko miguuni au wanazihifadhi kwenye mabeg yao? Unaweza kabisa kutamka hadharani kwamba umewahi kutoa mimba? Aibu gani jamani? halafu eti nilikuwa mdogo!! mdogo my arse!! stupid ass! kwa taarifa yako wadogo hawapati mimba hata wakibakwa. Ulibakwa?? ulipokuwa na Mondi ulisema ulipata mimba ikatoka na iliandikwa hata na magazeti fulanifulani. juzikazi ulimwambia Idris mlikuwa mnatarajia. sasa tuamini lipi???? idadi ya waume uliokwisha wapa hiyo sambusa ni kubwa mpk kizazi kimechanganyikiwa kimepoteza formula ya kurutubisha yai ndio maana huwezi pata mimba. Pole my dear, life goes on. Endelea tu, umaarufu huja na kuondoka na umaarufu wako sijui hata ni upi labda umaarufu wa ku roam around with other people's men. Walikuwepo warembo wa kukata na shoka na waliojulikana ulimwengu mzima waliishia wapi? Marlyn Monroe uliwahi msikia, Elizabeth Taylor? Bado muda mfupi watatokea watoto wabichi watakufunika wala hakuna atakayekumbuka tena Wema. Ungekuwa maarufu Newspapers or bulletins yangekuandika lakini angalia unaandikwa kwenye tabloids tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…