msafwa93
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 4,786
- 5,963
inanshangaza sana kuona bongo muvi wakishriki kwenye tamasha la fiesta kila mikoa,alaf wakipanda pale jukwaan hawafanyi lolote zaid ya kujidhalilisha kwa kukata viuona jukwaan,je wanalipwa.?na kama wanalipwa huu ni mwanzo wa kufulia,sidhani kama marehemu kanumba angefanya upuuzi kama huu..