Wema Sepetu, Sabuni utakayoogea ndio utakayonukia

Jaman ivi hayo yote ni baada ya kutangaza nia? Ujumbe ni mzuri kn huo muda wooote ungekaa ukafanya mambo yako c ungefika mbali. Muacheni bint wa watu jaman afanye alichoamua. Akikua atayaacha yote ya dunia, ukiacha kufuatilia hbr zake kwan ni kipi utapunguza? MUACHENI APUMUE AFANYE YAKEEEEE.NUKTA am nt member of any Team
 
mwasu

Chibu aliwaweza kweli wakamwita maskini kumbe yeye anajua afanyalo no honga honga za kijinga, mwanae kamuacha mara Chibu huyo mali zake zinaanza kujulikana na mjengoni akaingia na Zari.

Ila aliwaweza alishawajua wakoje, ndo maana wanamchukia hadi kesho. Hadi bibie kampeni ya kumshusha anasahau malipo hapa hapa duniani kutoka kwa Mungu.
 
Last edited by a moderator:

Kabisa yule mama badala ya kumshauri mwanae atafute kipato halali yeye anamsapoti mwanae kwenye kuhongwa na kuutumikia uzinzi bila haya, mama anapewa hela na mwanae anajua kabisa kahongwa ndio anamwambia huyo ndio mwanaume, naona hata CK angetaka kumrudia wema mama angempeleka mwenyewe kwa jamaa, hovyo kweli. Eti wema anasema hadharani kabisa baby hatimizi ahadi zake ndio maana nimemuacha, alinahidi vitu ya studio CK alivyoninyang'anya angeninunulia lakini hajanunua loh, Dai mjanaj sana kuwekeza kwa wema ni sawa na kujenga nyumba kwenye hifadhi ya barabara.
 
Mama kaona mwane tako linashuka thamani inapungua anamkimbizia kwenye ubunge, kweli anajua kutumia fursa maana fursa, CHIBU mjanja kuwekeza kwa wema ni kujenga kweny hifadhi ya barabara.
 
Hii ni moja ya changamoto kubwa kama sisi watanzania tukitekeleza tutafanikiwa na kupiga hatua mbele.

Aaagh hiyo anayolilia ya CK haifikii hii anayofanyia juu ya mto, sa kauli zake za kumuacha ndio zinamzibia angeachwa yeye duh angesema mali pia zake.
 
Mama kaona mwane tako linashuka thamani inapupua anamkimbizia kwenye ubunge, kweli anajua kutumia fursa maana fursa, CHIBU mjanja kuwekeza kwa wema ni kujenga kweny hifadhi ya barabara.
mwasu@warumi@Diva beyonce hebu pitieni ujumbe wa mtu anaitwa ulingoni IG.kaua mbaya!
 
Watanganyika hatuna utimamu,utashangaa huyo demu kapata kura Na anaingia bungeni.

Hatujawahi kuaminika sisi

mkuu ule uzezeta kwa wabongo unaelekea kupona...
kumbuka Shigongo alivyohaha kusaka ubunge jimboni kwake, alipeleka mpaka akina Ray na Kanumba ili mradi tu akateke hisia za watu.
lakini siku ya hukumu ilipofika akapiga chafya huku kafumbua macho
 
dozi ya leo imewaingiaa....wanapita hapa kama hawapaoni!
 
Wema kawashikia akili hata mijitu mizima yenye familia zao na wale wenye degree zao wajiunge kwenye team upuuzi...
Wema is such a disgrace, na hao watakaompa ubunge watakuwa wapumbavu pia...
 
Wema kawashikia akili hata mijitu mizima yenye familia zao na wale wenye degree zao wajiunge kwenye team upuuzi...
Wema is such a disgrace, na hao watakaompa ubunge watakuwa wapumbavu pia...

maisha yamebadilika...
hakuna watu wanataka kuongozwa na mtu asiewajua nyakati za shida
 
eeeh, umenikumbusha Aminata Juma mdada alikuwa mtundu sana yule
 
Kwa wabongo anaweza akampata wema Ana nyota Kali ila akili aAna hata kidogo nyota imemzidi kimo dimond alikuwa Ana akili ila nyota ndogo aisee mungu akupi vyote mtatoa ushauriii weeee ahhhha
 
Wallah CCM wakimpa ubunge huyu kahaba anaethubutu kumjadili mume wa MTU hadharani kwenye TV ati amenyang'anywa bwana ake, na mwenye mume asemeje sasa? Na huyo mama yake hata aibu haoni anamtukana kabisa kajala kama anachofanya mwanae ni halali, kwa vurugu zote alizofanya, kupigana global publishers, kupiga walinzi wake, kupora waume za watu, matusi ya kipashkuna nk hatufai kuwa mbunge, kwa hali tuliyonayo kama taifa tunahitaji watu makini waende wakatunge sheria na kuisimamia serikali tutoke hapa tulipo sio kupeleka wavua chupi wakavuane chupi bungeni, watatokea wapuuzi wenzie kumtetea hapa lkn tambueni hatuhitaji Wema Sepetu material bungeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…