Wema sepetu " sijawah kutumia kinga" mana na mpenzi mmoja

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Mwanafilamu maarufu ktk bongo movie miss wema amewaasa vijana kuacha michepuko na kuwa na mpenzi 1, haya amezungumza kutoka ktk tamasha la kuzuia maambukizi ya virusi vya ukimwi kwa vijana. Amesema kama mtu una mpenzi mmoja ambaye mnaaminiana hakuna aja ya kutumia kinga, akimaanisha ye na daimond. Kwa habari zaidi www.sintah.com
 
"kama una mpenzi mmoja ambaye mnaaminiana hakuna haja ya kutumia condom"

ni wapi kamtaja diamond au kasema ye kajisemea kuhusu kutumia condom???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…