warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Wema sepetu ametemgeneza kichwa habari akidai hajawahi kumsaliti aliyekuwa mpenzi wake,nasibu abdul(DIAMOND) enzi zile walipokuwa wamezema kwenye dimbwi la mahaba."maisha yangu yote tangu nimeanza mapenzi na nasibu...sikuwahi kumsaliti,i used to be very faithful to him na tulikuwa tunapendana sana...nilikuwa nimeridhika na maisha ambayo niko nayo"alisema wema.mara kadhaa diamond amekuwa akilalamika kwenye vyombo vya habari akimtuhumu mlimbwende huyo alikuwa akimsaliti kimapenzi.