Wema sepetu:sijawahi kumsaliti diamond

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Wema sepetu ametemgeneza kichwa habari akidai hajawahi kumsaliti aliyekuwa mpenzi wake,nasibu abdul(DIAMOND) enzi zile walipokuwa wamezema kwenye dimbwi la mahaba."maisha yangu yote tangu nimeanza mapenzi na nasibu...sikuwahi kumsaliti,i used to be very faithful to him na tulikuwa tunapendana sana...nilikuwa nimeridhika na maisha ambayo niko nayo"alisema wema.mara kadhaa diamond amekuwa akilalamika kwenye vyombo vya habari akimtuhumu mlimbwende huyo alikuwa akimsaliti kimapenzi.
 
Keshatengeneza mihela hapo

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kwa hyo sisi tufanyaje sasa?
 
Kwaio wengine akina marehem kanumba etc etc etc aliwasaliti
 
walipendezeana sana wema na diamond.walinivutia kwa kila kitu daa walitamanisha sana lilikuwa bonge la couple
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…