Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Yupo sahihi kabisa wachawi ni wengi...mtoto mwenyewe huyo kahangaika kumpata, aanze kugawa na nguo aa..thubutu wamwache tu mama Ollie wa watuMgogoro mpya wa kijamii umeibuka mtandaoni leo baada ya msanii na mwanamitindo maarufu nchini, Wema Sepetu, kuweka wazi msimamo wake wa kutotoa msaada wowote kwa Mtanzania yeyote wa kawaida.
Mjadala huo uliwashwa upya kwenye mtandao wa Instagram mara baada ya Wema kupakia video akiwa na mwanawe Ollie, ambapo shabiki mmoja mwanamke aliandika maoni akiomba apewe nguo zilizomruka Ollie ili amvishe mwanaye.
Kwa mshtuko wa wengi, Wema alijibu kwa ukali akisema hawezi kutoa msaada wowote kwa Mtanzania yeyote, na kwamba akiamua kusaidia basi atawapelekea watoto yatima pekee.
Kauli hiyo ilimfanya mtangazaji wa habari za burudani, Juma Lokole, kumuuliza Wema kwa njia ya utani sababu iliyomfanya ajibu vile, ndipo Wema alipofunguka na kueleza kuwa huko nyuma alikuwa mtu wa huruma sana aliyekuwa tayari kubeba shida za watu kama zake, lakini mambo aliyofanyiwa na Watanzania ndani ya miaka miwili iliyopita yamemfanya hana hamu nao tena.
Msimamo huu wa Wema unaonyesha jinsi jeraha la hisia na utovu wa shukrani kutoka kwa watu aliowahi kuwasaidia ulivyombadilisha fikra. Ikumbukwe kuwa huko nyuma, Wema aliwahi kujitolea kumlipia aliyekuwa rafiki yake wa karibu, Kajala Masanja, faini ya shilingi milioni 40 ili kumnusuru na kifungo cha jela kufuatia kesi ya utapeli wa nyumba, lakini hadi leo urafiki wao ulisambaratika kabisa.
Uzoefu huo wa nyuma pamoja na matukio ya miaka ya hivi karibuni ndivyo vilivyomfikisha Wema kwenye uamuzi huo wa kufunga kabisa milango ya misaada kwa wananchi wa kawaida.
View attachment 3674008
Hata yatima asipotaka kusaidia ni sawa, kwa sababu msaada ni hiyari, si lazima.Mgogoro mpya wa kijamii umeibuka mtandaoni leo baada ya msanii na mwanamitindo maarufu nchini, Wema Sepetu, kuweka wazi msimamo wake wa kutotoa msaada wowote kwa Mtanzania yeyote wa kawaida.
Mjadala huo uliwashwa upya kwenye mtandao wa Instagram mara baada ya Wema kupakia video akiwa na mwanawe Ollie, ambapo shabiki mmoja mwanamke aliandika maoni akiomba apewe nguo zilizomruka Ollie ili amvishe mwanaye.
Kwa mshtuko wa wengi, Wema alijibu kwa ukali akisema hawezi kutoa msaada wowote kwa Mtanzania yeyote, na kwamba akiamua kusaidia basi atawapelekea watoto yatima pekee.
Kauli hiyo ilimfanya mtangazaji wa habari za burudani, Juma Lokole, kumuuliza Wema kwa njia ya utani sababu iliyomfanya ajibu vile, ndipo Wema alipofunguka na kueleza kuwa huko nyuma alikuwa mtu wa huruma sana aliyekuwa tayari kubeba shida za watu kama zake, lakini mambo aliyofanyiwa na Watanzania ndani ya miaka miwili iliyopita yamemfanya hana hamu nao tena.
Msimamo huu wa Wema unaonyesha jinsi jeraha la hisia na utovu wa shukrani kutoka kwa watu aliowahi kuwasaidia ulivyombadilisha fikra. Ikumbukwe kuwa huko nyuma, Wema aliwahi kujitolea kumlipia aliyekuwa rafiki yake wa karibu, Kajala Masanja, faini ya shilingi milioni 40 ili kumnusuru na kifungo cha jela kufuatia kesi ya utapeli wa nyumba, lakini hadi leo urafiki wao ulisambaratika kabisa.
Uzoefu huo wa nyuma pamoja na matukio ya miaka ya hivi karibuni ndivyo vilivyomfikisha Wema kwenye uamuzi huo wa kufunga kabisa milango ya misaada kwa wananchi wa kawaida.
View attachment 3674008
Hakusema kwamba yeye tu ndiye atakuwa wa kusaidia watu.Nani kamwambia kila siku atakuwa yeye tu wa kusaidia watu? Haoni uwezekano na yeye siku moja akataka msaada wa Mtanzania mmoja?
Au mwenzetu yeye ameshahakikishiwa hadi siku anaenda kaburini ni one way tu kwa maana watanzania wanamuomba msaada na yeye hana shida yoyote?
mbona sasa kwenye hiyo picha amekuwa mrembo zaidiMgogoro mpya wa kijamii umeibuka mtandaoni leo baada ya msanii na mwanamitindo maarufu nchini, Wema Sepetu, kuweka wazi msimamo wake wa kutotoa msaada wowote kwa Mtanzania yeyote wa kawaida.
Mjadala huo uliwashwa upya kwenye mtandao wa Instagram mara baada ya Wema kupakia video akiwa na mwanawe Ollie, ambapo shabiki mmoja mwanamke aliandika maoni akiomba apewe nguo zilizomruka Ollie ili amvishe mwanaye.
Kwa mshtuko wa wengi, Wema alijibu kwa ukali akisema hawezi kutoa msaada wowote kwa Mtanzania yeyote, na kwamba akiamua kusaidia basi atawapelekea watoto yatima pekee.
Kauli hiyo ilimfanya mtangazaji wa habari za burudani, Juma Lokole, kumuuliza Wema kwa njia ya utani sababu iliyomfanya ajibu vile, ndipo Wema alipofunguka na kueleza kuwa huko nyuma alikuwa mtu wa huruma sana aliyekuwa tayari kubeba shida za watu kama zake, lakini mambo aliyofanyiwa na Watanzania ndani ya miaka miwili iliyopita yamemfanya hana hamu nao tena.
Msimamo huu wa Wema unaonyesha jinsi jeraha la hisia na utovu wa shukrani kutoka kwa watu aliowahi kuwasaidia ulivyombadilisha fikra. Ikumbukwe kuwa huko nyuma, Wema aliwahi kujitolea kumlipia aliyekuwa rafiki yake wa karibu, Kajala Masanja, faini ya shilingi milioni 40 ili kumnusuru na kifungo cha jela kufuatia kesi ya utapeli wa nyumba, lakini hadi leo urafiki wao ulisambaratika kabisa.
Uzoefu huo wa nyuma pamoja na matukio ya miaka ya hivi karibuni ndivyo vilivyomfikisha Wema kwenye uamuzi huo wa kufunga kabisa milango ya misaada kwa wananchi wa kawaida.
View attachment 3674008
Alifanyiwa mambo gani hayo? Au namaa walivyomuonesha upendo kwenye harakati zake za siasa?mambo aliyofanyiwa na Watanzania ndani ya miaka miwili iliyopita yamemfanya hana hamu nao tena.
Nnje ya mada, paka hupoteleaga wapi wakishakuwa wakubwa na kutoroka makazi wanayofugwa (nyumba za watu)?Hakusema kwamba yeye tu ndiye atakuwa wa kusaidia watu.
Hakusema hawezi kuhitaji msaada wa mtu.
Na pengine ana watu wake wa kumsaidia tayari.
Umetoka kwenye alichosema na kwenda kuleta habari za biashara zenu za kusaidiana mnazofanya.
Labda mwenzako hataki kutoa msaada kwa minajili ya nipe nikupe, kwamba atoe msaada leo ili kesho na yeye asaidiwe na aliowapa msaada.
Huo si msaada, huo ni uwekezaji wa kijamii.
Nje ya mada.Nnje ya mada, paka hupoteleaga wapi wakishakuwa wakubwa na kutoroka makazi wanayofugwa (nyumba za watu)?
Kwanini huwa wanalia kwa uchungu sana usiku kucha kabla ya kupotea kabisa kusikojulikana?
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Ndio Nani huyi huko dar?!Mgogoro mpya wa kijamii umeibuka mtandaoni leo baada ya msanii na mwanamitindo maarufu nchini, Wema Sepetu, kuweka wazi msimamo wake wa kutotoa msaada wowote kwa Mtanzania yeyote wa kawaida.
Mjadala huo uliwashwa upya kwenye mtandao wa Instagram mara baada ya Wema kupakia video akiwa na mwanawe Ollie, ambapo shabiki mmoja mwanamke aliandika maoni akiomba apewe nguo zilizomruka Ollie ili amvishe mwanaye.
Kwa mshtuko wa wengi, Wema alijibu kwa ukali akisema hawezi kutoa msaada wowote kwa Mtanzania yeyote, na kwamba akiamua kusaidia basi atawapelekea watoto yatima pekee.
Kauli hiyo ilimfanya mtangazaji wa habari za burudani, Juma Lokole, kumuuliza Wema kwa njia ya utani sababu iliyomfanya ajibu vile, ndipo Wema alipofunguka na kueleza kuwa huko nyuma alikuwa mtu wa huruma sana aliyekuwa tayari kubeba shida za watu kama zake, lakini mambo aliyofanyiwa na Watanzania ndani ya miaka miwili iliyopita yamemfanya hana hamu nao tena.
Msimamo huu wa Wema unaonyesha jinsi jeraha la hisia na utovu wa shukrani kutoka kwa watu aliowahi kuwasaidia ulivyombadilisha fikra. Ikumbukwe kuwa huko nyuma, Wema aliwahi kujitolea kumlipia aliyekuwa rafiki yake wa karibu, Kajala Masanja, faini ya shilingi milioni 40 ili kumnusuru na kifungo cha jela kufuatia kesi ya utapeli wa nyumba, lakini hadi leo urafiki wao ulisambaratika kabisa.
Uzoefu huo wa nyuma pamoja na matukio ya miaka ya hivi karibuni ndivyo vilivyomfikisha Wema kwenye uamuzi huo wa kufunga kabisa milango ya misaada kwa wananchi wa kawaida.
View attachment 3674008
Mkuu nimekuuliza hivyo maana naonaga huwa uko deep kiufafanuzi kwa mada mbalimbali, si kama unavyonichukulia/unidhaniavyo.Nje ya mada.
Umekula leo?
Mkuu nimekuuliza hivyo maana naonaga huwa uko deep kiufafanuzi kwa mada mbalimbali, si kama unavyonichukulia/unidhaniavyo.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Mgogoro mpya wa kijamii umeibuka mtandaoni leo baada ya msanii na mwanamitindo maarufu nchini, Wema Sepetu, kuweka wazi msimamo wake wa kutotoa msaada wowote kwa Mtanzania yeyote wa kawaida.