Wema Sepetu: “Siwezi kutoa msaada kwa Mtanzania yeyote, labda watoto yatima tu”

Hii bifu ya wasanii na mashabiki inazidi kuwaka moto...
 
Wema hana nia wala uvumilivu wa kuwataka Watanzania wabadilike.

Yeye kataka kusema ya kichwani mwake tu.

Ukifikiri anajali sana Watanzania wabadilike utakuwa umeshindwa kuelewa saikolojia ya ma star wa Bongo.

Kimsingi anachosema ni kwamba alidhani anapotoa msaada anaweza kubadilisha mambo kwa namna chanya, alifikiri watu watamtambua na kumtamini kutokana na msaada, akagundua maana ya "no good deed goes unpunished". Kila aliposaidia alikuwa disappointed. Akagundua watu hawana shukurani na hakuna analoweza kubadilisha chanya, akaacha.

Sasa mtu kama huyo utasemaje anasema ili Watanzania wabadilike?
 
Zamani Tanzania suala la kuombaomba lilikuwa la aibu sana.

Tulivyokuwa wadogo tuliimba mpaka wimbo.

"Kuomba ombaaa, kubaya sana.
Kuomba ombaa, kubaya sana.
Usioombee, usioombe, jitegemee
Usiombee, usioombee, jitegemee"

Nani anaukumbuka huu wimbo?

Mtu kabla ya kuomba, hata akiwa masikini, ilibidi ajifikirie sana.

Yani mpaka ukiomba uwe na sababu nzuri watu wakuelewe kuwa hapa kuna sababu nzuri ya kusaidia.

Watu walikuwa na fahari ya kuishi kwa kujitegemea hata kama walikuwa masikini.

Ombaomba walikuwapo, lakini walionekana watu wa chini sana. Ukiomba ilikuwa kama unajidharaulisha sana.

Siku hizi kuombaomba imekuwa ni lifestyle. Watu wanaombaomba tu kama ni kitu cha kawaida sana.

Wanaomba mpaka bia bar.

Sikatai matatizo yapo, na watu hawatakiwi kufa na tai shingoni, wakizidiwa waombe msaada.

Ila siku hizi watu wanaomba, wanaomba mpaka na ya kutolea, na wakimaliza wanarudi kuomba tena bila hata haya.
 
Million 40 ni parefu asee kuitoa. Basi wema alikuwa na mkono wa kutoa.
 
Nguo za watoto ni cheap sana mtumbani, huyo anaendekeza njaa na kuombaomba
Ushawahi kuchapwa na maisha wewe Binti? Hivi unajua ugumu wa maisha yakimchapa mwanamke mwenye mtoto tena ukute mdogo na anajipambania mwenyewe na unakuta huyo mwanaume mwenye huyo mtoto ameacha ndara??

Acha niishie hapo ila siku likikuchapa life na upo na mtoto mchanga ndo utajua hiyo Hela ndogo unayoipata umnunulie mtoto nguo au ununue chakula upate nguvu za kumnyonyesha huyo kiumbe.

NB; Huyo aliyeomba nguo anahitaji sana msaada maana mpaka kusema nguo zilizomvuka Ollie basi yeye anakichanga zaidi ya Ollie🖐️
 
jinga kubwa wewe kwani Yatima sio watanzaniaaaa
 
Hao yatima atakao wasaidia sio watanzania au kuna nchi inaitwa yatima
 
Huyo hajachapwa na maisha, mtu aliyechapwa na maisha hana simu na bando la kuingia tiktok
 
Huyo hajachapwa na maisha, mtu aliyechapwa na maisha hana simu na bando la kuingia tiktok
Kuna WiFi za bure sasa hivi watu wanaskaniana password tu mtaani kumbuka alafu Kuna simu za mkopo🥹🥹anyway nimekuDM nimetokea kuvutiwa na wewe
 
Hadi imekuwa kero
Siku hizi wanawake nao wanaomba dudu
 
Million 40 ni parefu asee kuitoa. Basi wema alikuwa na mkono wa kutoa.
Hiyo hilo alitoa bwn wak wem aliyekuw anafany Bandar jina kapuni alikuwa
Chpchp hko bandari
Alipotoa wakamtoa f,yule mwamba wa Bandari
Akaja pindua meza akawa anatoka na kjl
Yule jamaa wa bandari alikujaga tumbuliwa enzi za magu mpk mara ya,mwisho nkko hko alikuwa ashajichokoeaaaa
Ndomana unaona Wma ana gazabu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…