Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?


Kazana mama......gono hilooo!!!!
 
Watu hawashindani, they live the way they feel like.....hakuna kucopy.....iga ufe!!!!

kuiga ujinga!!!!
km ndo mama enu mnamsifi kwa ujinga wake mwambieni enzi zake zishaishaaAAAAAAA
kafulia mbayaaaaaa
kutwa kutafuta jina namuona anavyoshindana na vitoto
mwambie hana maajabu tena
kumbe ndo mana mzee sepetu alimkimbia znz!!!!
akaishia kulipiwa mahari hata ndoa hakuambulia nani aoe bomuuu lileeeee
heheeeeeereo anatak a kushindana na vitoto wapiiiiii
ye zeeeeeeeeeeee tena jizeeeeeeeeeee hasaaaaa
mpaka hedhi kakomaaaa
 
Last edited by a moderator:
Nashangaa kila nikitoka naona naitwa kwenye hivi vijungu vyenu....kwahiyo maudhui ya jukwaa hili ni kukalia umbea....chagua topic za kuingia kijana! Mwanaume ambaye mwanzo mpaka mwisho anacomment kwenye umbea mmmh.....ful wasiwasi....keep it up!!!!
Kweli nina wasiwasi hata na ubongo wako haupo sawa, egemea kwenye mada. Sisi tupo humu kuwanyoosha vichwa nazi kama nyie na ninachangia uzi wowote ndio maana kila jukwaa utaniona. Kingine unajua maana ya umbea au hiyo video kuiangalia na kumshauri mama yako imekuwa umbea.Unaonekana bado mtoto jitahidi kusoma na kujifunza ujuzi wowote usije ukaja kuwapa lawama ndugu zako huko baadae kwa kuomba misaada.
 
Hahahaa
Hajui hili jukwaa ndo mahali yake haya mambo. ...

Hongereni kwa kupata mahali pa kujifariji.....jinsi gani nyie wenyewe mnavyomfagilia Wema.....comment zinakaribia elfu moja....weka kajala uone.....Wema she is a rock star lol!!!!
 

Geniveros huna jipya humu.....ongeza comment kuonyesha jinsi gani mnamfagilia!!!!
 

Mtoto wa kiume muda wote kwenye umbea unatafuta nini!? Kama ushauri c umeisha toa! Labda kama unataka kutongozwa!!!!
 
 
Hii clip imemdhalilisha kuliko ile ya kwanza
kuna watu hata nadhani walikua hawajawahi kuiona ila now watakua curious na hiyo lugha sio nzuri
hakuna aliye mkamilifu ila huwezi acha kukosoa inapobidi kisa huwa unafanya makosa.
 
Hivi unajua maana ya Wallah wewe???toa upuuzi wako hapa laanakum wewe,unatoa kiapo kikubwa namna hiyo kwa mtu usiyemjua???

Huna lolote ww......ndio wale wale! Mchana unajifanya decent, usiku mmejipanga mori ptuuuu!
 
Hii clip imemdhalilisha kuliko ile ya kwanza
kuna watu hata nadhani walikua hawajawahi kuiona ila now watakua curious na hiyo lugha sio nzuri
hakuna aliye mkamilifu ila huwezi acha kukosoa inapobidi kisa huwa unafanya makosa.

Me mwenyewe natamani kweli nione ckuiona mwanzo
 
 
Hongereni kwa kupata mahali pa kujifariji.....jinsi gani nyie wenyewe mnavyomfagilia Wema.....comment zinakaribia elfu moja....weka kajala uone.....Wema she is a rock star lol!!!!

Weee
Tena ishia hapo hapo
Huo upumbavu wa huyo boss wako hukohuko sio kutuletea wote hapa!

Mtu mzima unajishaua na kuongea maneno ya hovyo no wonder mtt yupo hivo. ..

Mwanamke asiye na staa kuvua vua chupi hovyo ndo ustar huo!!!!
Poleni sn Mungu awasaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…