Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?

Nilipoona ila mitusi ya yule mama nikajua kumbe maji yamefuata mkondo
 
Sijui digrii ya nini si ndio maana nikakimbia hayo maswali mengine.....

anayo mi nilisomaga na dada alikuaga katulia huyu... binti mpoleee balaa na kisauti chake akaja kungengeuka alivyoanza umiss

Huyo binti sidhani kabisa kama ana elimu ya juu (stashahada au shahada).

Na mtu huhitaji kuwa 'kichwa' kulibaini hilo.

Ushawahi kuona anavyoandika?
 
Ile picha kweli ilikua homa ya jiji maana hadi ye mwenyewe alilazwa... sema alivyoanza kutukana hadi mwanae akawa anamwambia mama basi.....

Alivyojibu sasa

Hakika huyu Mama amenishangaza kabisa....
Huyu Mama hapendi ukubwa kabisa!
 
Huyo binti sidhani kabisa kama ana elimu ya juu (stashahada au shahada).

Na mtu huhitaji kuwa 'kichwa' kulibaini hilo.

Ushawahi kuona anavyoandika?

Hahaaaaaa naonaga ila huwa naona kawaida tu.....

Kwani huwa anaandikaje
 
Huyo binti sidhani kabisa kama ana elimu ya juu (stashahada au shahada).

Na mtu huhitaji kuwa 'kichwa' kulibaini hilo.

Ushawahi kuona anavyoandika?

Huyu binti kama alisoma sana lazima aliishia form six na kama alikwenda chuo basi hakumaliza!

Na angekuwa na hata Diploma lazima ingejulikana tuu!
 
Nasikitika sana ninapoona watu wazima wanashindwa kuisaidia jamii kubadilika . Unajua hapakua na haja ya kumponda yeyote akiwa kama mzazi . Zipo njia nyingi za kufikisha ujumbe kwa hekima na wahusika wakajisikia vibaya na tena wala si njema kuendeleza magomvi . Angewaelekeza namna nzuri ya kuishi na watu na ikiwezekana angewakanya kuingiza wazazi ktk mambo yao ya kipuuzi kama alivyotumia mfano wa mumewe ilikua nzuri kiasi.

Umri hakuutaja kwa bahati mbaya kwani ukiangalia vizuri utaona kabisa alikua anajinadi na hiyo ndo iliyonifanya nicheke nahisi huyu mama hajaona wamama wenye maumbo mazuri aisee.
 
To put it charitably, my tween at home is far better intellectually than that grown ass woman.....

Hahaaaa kwenye kuandika naona yuko poa labda katika kuongea ndio huwa na kiswanglish kingi...

Ur tween anaishi wapi??? asije kua huko majuu ukafananisha na Wema
 
Sijui digrii ya nini si ndio maana nikakimbia hayo maswali mengine.....

anayo mi nilisomaga na dada alikuaga katulia huyu... binti mpoleee balaa na kisauti chake akaja kungengeuka alivyoanza umiss

Huyu kwakweli Umiss na bongo movie za kina kanumba zilimbadilisha.
 
Hahaaaa kwenye kuandika naona yuko poa labda katika kuongea ndio huwa na kiswanglish kingi...

Hmm...kama unaona kwenye kuandika yuko poa basi nawe sijui hata nikuweke kundi gani tu!

Ur tween anaishi wapi??? asije kua huko majuu ukafananisha na Wema

Haijalishi tween wangu yuko wapi....hoja ni kwamba kama kweli huyo bibie ni msomi wa shahada au stashahada....she just doesn't look or act the part to the extent that my tween is far more advanced intellectually than she is based on what I have observed.
 
inawezekana hakutegemea maisha mazuri so bado ana ulimbukeni ule ule
sijawah msikia mama wa uwoya wala wolpa na makashfa ya uwoya kukimbia mme
mi nahis aliruka stage
 
Shida yake iko wapi kwenye maandishi????

alikuaga poa ila baada ya kupata fame ndio akaanza all the dramas unazoziona...
Observation zako zaweza kuwa sahihi kwa namna moja ama nyingine
 
Haaaaaa watu wanaukana uzeee.. na uzee ukija wala haupigi hodi unauona huo tu ndiiii

Au mambo ya uzee mwisho chalinze

Hahahaha kupitia clip ya huyu Mama nime amini uzee mwisho Chalinze!
 
wala si wazazi wa kisasa
wapo wengi ila yeye tu amekosa haya,hajui vibaya
mtu mzima asiejithamini anaetafuta umaarufu kunuka kupitia magazeti anaacha kukaa kulea wajukuu kuutwa na magazeti
sometimes unaezajikuta unamkosea mungu ukiwa na mama km huyu!
 
Huyu Mama alitakiwa kuwapuuza wanao mchafua! Hapo kwenye kutaja umri nafikiri hasira zilichangia zaidi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…