Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Sitashangaa waliohudhilia walikua wanampigia makofi naye ndo akazidi morali
Aisee yaan hapo kajijengea uaduii na hizo timu zao atashangaaa aisee sie yetu masikio mimi mama yangu hawez ongea hivyo hata siku mojaaa,na sijawah.msikiaa mtoto kama mama aisee kumbe hua tunamlaumu wema kumbe mama yake ndio hivyoo sasa hayo maswala ya shape kama ana miaka 12 ya ninii mtu mzima hivyoo,
Ndio maana nilisema Kajala kama ana akili amridishie zile milion zake atasimangwa mpaka basiii arudishe pesa wamalizanee
Eti kamuibia mume mume yupiii??? Mambo ya kipuuzi kabisaaa mbona ye alimuiba Sepetu kwan kajala wa kwanza kuiba hawara looo hii ni funga mwaka
Kaishia form six hana degree si angeshaitaja siku nyingi kila mtu ajue akina jojo ndo aliposhiriki umiss aliunga na udsm hiyo degree ni kumpaisha baada ya umaarufu akakacha chuo
kusoma kazi jamani
Huyu Matoope ni kama jina lake mwanzo nilikuwa namshangaa sana lakini sikuhizi na Cheka sana nikiona post zake hata ndugu pdidy
Mmh aliishia form four unataka kusema hata form six hajafika....
Kawaida tu mbona sio kihivyo
Boga lizae tufahaa haiwezekani
Hajafika six wema..nmechek interview zake kibao baada ya 4 alienda Malaysia for dip ambayo cjui kama alimaliza
Kazi zenyewe hawezi kufanya ..CK alimfungulia endless fame ..alifanya kitu gani cha maana
Watu walikua wanapiga makofi saana na... na kuna muda walikua wanamsifia kabisa ye ndio morali ikapanda pale
Mbona wengine wanasema kafika form six au nimeona vibaya?????
hadi sasa hatujapata uhakika wa elimu yake...
Malaysia alienda kusoma ila sijui what happened ndio kina Mange wali muunganisha u miss Tz baada ya hapo ndio ikawa tunayoyaona sasa...
Watu walikua wanapiga makofi saana na... na kuna muda walikua wanamsifia kabisa ye ndio morali ikapanda pale
Hivi Ni Kweli Wema Ana Miaka 26? Kwani Anavyogombea Umiss 2006 Alikuwa Ana Miaka Mingapi? Kwa Nini Mnapenda Kuonekana Wadogo Wakati Ni Vibibi Vikongwe.
Basi ndio walimpanikisha wakati hao hao ndio watakua wakwanza kumkejeli.....dunia ina watu na viatu ila wengine yeboyebo
Wema shule kasoma.... shule hakuikimbia.. sema maza ake ndio uswahili umempitiza vibaya saana
Ni mzuka bana.....:A S wink:
Huyu binti kama alisoma sana lazima aliishia form six na kama alikwenda chuo basi hakumaliza!
Na angekuwa na hata Diploma lazima ingejulikana tuu!
Shost siku hizi form 4 km la 7 tu..angeenda ht tucollege tungeona kasoma
inawezekana hakutegemea maisha mazuri so bado ana ulimbukeni ule ule
sijawah msikia mama wa uwoya wala wolpa na makashfa ya uwoya kukimbia mme
mi nahis aliruka stage
Hivi Ni Kweli Wema Ana Miaka 26? Kwani Anavyogombea Umiss 2006 Alikuwa Ana Miaka Mingapi? Kwa Nini Mnapenda Kuonekana Wadogo Wakati Ni Vibibi Vikongwe.