source ni wapi kama siyo udakuzi?Mbona picha zenyewe haziko faragha?
ltabidi nihame Dar sasa hii ni Kashfa...!Wanaume wa dar tena
Mdakuzi Ndio kampiga picha Akiwa chumbani kwake? Kama yeye kaona hayo mambo Ni ya kufanyia barabarani basi kwake hiyo sio faragha! Ingekua faragha wangejifungia chumbani Na Kuanza kunjunjana!source ni wapi kama siyo udakuzi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Natabiri comments zaidi ya 150 watu kujadili wema alivyopigwa denda.
Kuna Clip inasambaa sana Instagram Wema sepetu akiwa Na Ki Boy ... Bila haya Wala Aibu mwanamke Huyu Na kiss Za midomo juu wakadendeka
Picha hizi hapa
Haka ka boy ni bwabwa maarufu mjini...ni punga watu wanatwanga hivyo inawezekana kenyewe ndio kanapigwa finger