Hahaha masanilo umenifurahisha hivi huyu jamaa yuko wapi nilisikiaga amekamatwa akapelekwa Dar wameshamhukumu??? Anyway Wema ni msichana mzuri sana na angelitulia ni msichana anayefaa kuolewa binafsi ningelitaka kumuoa but exposure ya media na rekodi yake chafu mh i would rather not may be after couple of years maana binaadamu hubadilika and everyone deserves a second chance. But namtakia kila la kheri na maisha yake. Nilikuwapo katika thread hii bye