mwaya wacha tu kiswahili hiki nilikuwa naona uchungu bibie anavyovyochezesha mapaja ati
dada akirudi na chumba chake tushapangisha sijui atalala wapi
mi huwa nachukizwa sana na thread za kingese kama hii!
we wakiume au wakike
Poleni jamani nampenda wema kama dada sipendi aachike na majaribu ya dunia
mwaya wacha tu kiswahili hiki nilikuwa naona uchungu bibie anavyovyochezesha mapaja ati
dada akirudi na chumba chake tushapangisha sijui atalala wapi
loh akiibiwasi anarudi kwetu mwaya afadhali nirekebishe mapema akiachika aachike
kwa mapenzi yake s kwa kuibiwa ati.....
hahaha ila ukimuelewa Pdidy raha sana mi siku hizi mwandiko wake haunipi shida kabisaaa tena siku hizi anajitahidi sana
Walahi namwonea wivu dada yangu wema
kuna dada anamhoji mmh kaachia mapaja mpaka namwonea huruma shemeji anavyojieleza macho yanalenga kusema anashindwa loh
mungu amtie nguvu amalizie salama kuhojiwa
loh akiibiwasi anarudi kwetu mwaya afadhali nirekebishe mapema akiachika aachike
kwa mapenzi yake s kwa kuibiwa ati.....
Walahi namwonea wivu dada yangu wema
kuna dada anamhoji mmh kaachia mapaja mpaka namwonea huruma shemeji anavyojieleza macho yanalenga kusema anashindwa loh
mungu amtie nguvu amalizie salama kuhojiwa
Walahi namwonea wivu dada yangu wema
kuna dada anamhoji mmh kaachia mapaja mpaka namwonea huruma shemeji anavyojieleza macho yanalenga kusema anashindwa loh
mungu amtie nguvu amalizie salama kuhojiwa
Kama ninavyokusoma wangu upo??