Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Sijui kwanini anashindwa kushika 50 zake, wameachana kina jide na ndoa zao na maisha yanaendelea sembuse yeye na boyfriendWema anastahili hiyo msg maana kazidi drama
NI ugonvi wa maneno kati ya wema, Diamond na zari, wema alipost picha ya mtoto wa esma (dada wa diamond) akasifia kuwa mtoto ni mzuri sana kama pipi shabiki mmoja akauliza na tiffah? Wema akamjibu huyo shabiki "basi tungehama nchi" kwa ilivotafsiriwa kamaanisha huyo tiffah mtoto wa diamond angekua mzuri angehama nchi kwa direct maana tiffah ni mbaya, zari nae akatoa yake kuwa watu wasio na womanhood ndio wanaweza kumuita mtoto Mbaya..... Diamond ndo leo kamaliza kabisaaaa kaweka picha akiwa na mwanae akaandika "shika mimba uzae wako mzuri if you can" ligi ndo imefikia hapo hope umeelewaAliyeelewa atuhabarishe.
Kik tu za mjini wema awe na mimba akae kimya, na anavoitafuta kama shilingi mchangani hakuna Mimba wala niniSi nimesikia ana mimba ya mbunge!
umeona eeh? jide kaachana tena na mume ila hana drama kama bibie,sijui mama ubaya kaumbwaje yani mswahili sanaaa,kamkomesha,azae wake mzuri, daah yani diamond kiboko kabisaaaaSijui kwanini anashindwa kushika 50 zake, wameachana kina jide na ndoa zao na maisha yanaendelea sembuse yeye na boyfriend
Hilo jibu la diamond teh pole zake
angenyamaza tu anazidi kujidhalilisha maskini, ila diamond nae angepotezea tu sema kaka angu yule mtoto wa tandale akasema ngoja amnyweshe juice ya ukwaju bibie dahhh wema atajibeba mwaka huuKik tu za mjini wema awe na mimba akae kimya, na anavoitafuta kama shilingi mchangani hakuna Mimba wala nini
Kanyamaza kaona ngumu kumeza, binamu kutukaniwa mtoto kunaumaangenyamaza tu anazidi kujidhalilisha maskini, ila diamond nae angepotezea tu sema kaka angu yule mtoto wa tandale akasema ngoja amnyweshe juice ya ukwaju bibie dahhh wema atajibeba mwaka huu
Kijana wa tandale akiongea neno moja tu yatosha ha ha ha haumeona eeh? jide kaachana tena na mume ila hana drama kama bibie,sijui mama ubaya kaumbwaje yani mswahili sanaaa,kamkomesha,azae wake mzuri, daah yani diamond kiboko kabisaaaa
Chines fone!Mimi pia hazifunguki