Wema wangu umeniponza nimefirisika na kukimbiwa na mke

Chai ya hekaya za bunuwasi na Alif lela ulela
 
japo ni stori ila umebugi hapo kwenye wachagga hamna mchaga zuzu hivyo hata familia ingekua upande wako pale ambapo wangejua umempa zaidi ya 10m kuanzisha biashara
 
Dunia hii nani akupekupe hela kirahisi namna hiyo. Acheni mambo ya kitoto kupotezea muda watu wazima. Pumbavu
 
Huu Uzi wako ni Uongo
 
Hii ndo zile story za kutunga, eti unampa ela mara nne, alafua achukue mke wako na kumpa mimba? Hii kitu hakuna kwa wachanga labda wengine Mbula hatunaaa ujinga kama huo
 
Hizi story za kuwahadithia darasa la saba baada ya kupigia pindi la pre-form one.
 
Bila shaka Hii sio kweli, ni simulizi TU[emoji848]
 
Lakini kinachoniumiza zaidi hadi nahisi kuchanganyikiwa, mdogo wangu kamchukua mke wangu anaishi nae kama mume na mke na teyari mke wangu ana ujauzito wake.[emoji3064]
Hii imeshindwa kupenya
Mi mwnyw sijaielewa kabisa[emoji28]
 
Makosa yako ni haya;
1. Ulimweka kijana aliyebalehe ndani mwako (ukamegewa mapema) bila kujua.
2. Ulikopa ili umpe pesa ndugu mpumbavu. Huu ndio ujinga mkubwa uliufanya. Wewe ulifanya ili uonekane wa maana kwa wazazi wako . Hivi mtu ashakuletea upumbavu bado unakopa kwa rehani ya nyumba yako kwaajili yake?
3. Ulioa mke mshenzi
 
Wachaga hatupo ivo wooyiii , hatupeani pesa ivo kama maandazi, unafunguliwa biashara au unapewa biashara izalishe mtoto unampa aliekupa then unaendelea nayo inakuwa yako, iyo pesa ya kwanza tu dogo angeonyesha ilipo ivi unawajuwa wachaga vita zao ,yani kaka anaduka la hadiwea basi utauza apo then unaanzishiwa yako
 
Hii ni habari ya uongo na ya kutunga.....watani zangu wachaga hawana ujinga wa namna hiyo........wangekuwa wajinga Kwa kiwango thithi wapare tungewacheka thana
 

Na kweli aseme makabila mengine sio sisi [emoji54]
 
Kama ni kweli naomba kukushauri yafuatayo:

Moja: Usivunje undugu kwa sababu ya huyu mke wako na TABIA za mdogo wako ILA TAFUTA NAMNA BORA YA KUJAMIIANA NAO.

Pili: Toa talaka kwa MKEO ili kukupa nafasi ya kuanza upya ukiwa mwenyewe.

Tatu: Watoto wako kama nyumbani kwa wazazi pako vizuri wapeleke wakae na bibi yao na umtafutie housemaid wa kuwahudumia watoto ili wewe uweze kupambana na kujipanga vizuri.

Nne: Masuala ya kesi na kushitakiana huongeza mgawanyiko kwenye familia na kuibua makundi ambayo yakuanza yanaweza kwenda generations nyingi zijazo kitu ambacho siyo kizuri.

Tano: samehe na kusonga mbele kwa ari na nguvu mpya, Mtumainie Bwana mshindi na mwenye nguvu ambaye kwake hakushindikani kitu

Naomba kuwasilisha.
 
Eric shigongo is real
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…