Wewe Gaijin ni mwana CCM mchakachuaji tuu, sasa kama alikuwa anaweza kwanini walimtoa Sitta mapema wakati wanajua hawezi wakamuweka ma mabwenyenye wenzake?
CCM bureee tuuuuu,,,, Wachakachuaji wakubwanyinyi Gaijin
ok Jamani naona wale wanaojiandaa kufuatilia Bunge hili la sasa linalo jiandaa kuanza hivi pinde juma nne wata shuhudia haya ninayo yaongea hapa kwa Jamii
Mtoa mada unatupa shaka,ingeeleweka kama ungesema mwanamke fulani hana uwezo kitu ambacho kipo pia kwa baadhi ya wanaume kupewa uongozi huku wakiwa hawana uwezo.Lakini kusema wanawake wote wako hivyoo si sahihi.Wako wanawake wengi sana waliokuwa imara na kuongoza maeneo tafauti kwa ufanisi tu.Jaribu kureview mawazo yako inaonyesha uko gender biased.